Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mimi niliangalia mpira na wala sijaenda kucomfirm matokeo niliyobeba Mfukoni that's why nasema tumecheza Vizuri.

Ila tumeshindwa kuibuka na ushindi kwa sababu ndogondogo tu za kiufundi.

- Kwanza: Kuna wachezaji ambao tayari zile skills zao za kimpira zimeshapotea ambao ni Mane na Firmino.
Firmino: Hakupaswa kuanza kwenye game ya jana na ukweli usiofichika tokea last season hakupaswa kuwa Mchezaji wa kikosi cha kwanza kwani hana tena kabisa uwezo, hivyo yeye akiwa kama Striker anakuwa sio tishio tena kwa maadui.
Mane: Pia amepoteza skills za kudribble na kufanya maamuzi, he can't shot, can't score, can't dribble and can't pass. Anaburuta mipira mingi na kuishia kuiwacha miguuni mwa adui, hivyo hakuwa threat kwenye Defence line ya Chelsea.

Pia kuna wachezaji waliocheza chini ya kiwango:

1) Robertson
2) Henderson
Hawa ni wachezaji ambao kwa jana walikuwa hawajui wanafanya nini uwanjani, kwa sasa Tsimikas yupo bora kuliko Robertson na anaweza kuchukua namba ya Robbo.
Henderson hapaswi kuwa Mchezaji wa kikosi cha kwanza kwani ameshapoteza uwezo.
Hendo hafai kuwa mchezaji wa first eleven kitambo mbona na hili tumeliongea sana humu
 
Ila ule mpira ulianza kugonga kwenye paja then ndio ukaenda kwenye mkono, as you know kwenye situation za vile huwez weka mikono yako nyuma

Sidhan kama pale james alikusidia
True hakukusudia ndio maana hata Klopp kasema he felt sorry for the boy...

Ninayoona pale ni vile alinyanyua ule mkono refa akaona ilikua kuusukuma mpira usiingie golini.

YNWA
 
Mkuu ile kadi siilaumu that was direct Red card. Nakumbuka kuna gemu tulicheza na Arsenal tulimcharaza goli Sita. Chambalein alipush mpira iliyopigwa na Hazard ikatolewa red card kwa Gibbs. So that was directly Red card bila kipingamizi.
James is a cool boy too bad he couldn't do otherwise and i believe any player in that tricky situation angefanya vile vile..

YNWA
 
Mimi niliangalia mpira na wala sijaenda kucomfirm matokeo niliyobeba Mfukoni that's why nasema tumecheza Vizuri.

Ila tumeshindwa kuibuka na ushindi kwa sababu ndogondogo tu za kiufundi.

- Kwanza: Kuna wachezaji ambao tayari zile skills zao za kimpira zimeshapotea ambao ni Mane na Firmino.
Firmino: Hakupaswa kuanza kwenye game ya jana na ukweli usiofichika tokea last season hakupaswa kuwa Mchezaji wa kikosi cha kwanza kwani hana tena kabisa uwezo, hivyo yeye akiwa kama Striker anakuwa sio tishio tena kwa maadui.
Mane: Pia amepoteza skills za kudribble na kufanya maamuzi, he can't shot, can't score, can't dribble and can't pass. Anaburuta mipira mingi na kuishia kuiwacha miguuni mwa adui, hivyo hakuwa threat kwenye Defence line ya Chelsea.

Pia kuna wachezaji waliocheza chini ya kiwango:

1) Robertson
2) Henderson
Hawa ni wachezaji ambao kwa jana walikuwa hawajui wanafanya nini uwanjani, kwa sasa Tsimikas yupo bora kuliko Robertson na anaweza kuchukua namba ya Robbo.
Henderson hapaswi kuwa Mchezaji wa kikosi cha kwanza kwani ameshapoteza uwezo.
Mane ka drop sana, i dont know what happened to this dude.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
1630329026881.png
 
klopp bhana, kuna game 2019 vs united , man u mapema tuu walifanya sub za injury kwa baadhi ya key players wao, sisi muda huo tupo form, cha ajabu klopp akachanganyikiwa tukatoka 0 0, ndio ubingwa ukaendaga kwa city kwa point 1
 
News: Michael Edwards has informed the Liverpool hierarchy of his intention to step down as Sporting Director at Anfield. (The Athletic

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Liverpool sporting director 'tells bosses he's leaving next summer'​

11 hours ago / autty​

Liverpool sporting director Michael Edwards, the mastermind behind many of the club's best ever signings, is set to leave next summer, according to reports.
CgAGVmEsjTOADQY0AAEmv_XHELY547.jpg.webp

Edwards' deal will run down at the end of the season and it is said he has already informed Anfield chiefs about his decision to step down after several glittering years.
The Athletic claim that the expectation at Liverpool is that Edwards will indeed quit, a move that would come as a surprise in light of his superb track record in the role.
It has also been stressed in the same report, however, that the situation is not yet 'finalised', and it is not impossible that Edwards decides to sign a new contract.
But with assistant sporting director Julian Ward having been promoted to work under him last December, the chain of command has already been laid out if he does leave.
No other teams were involved in his choice, the report adds, with Edwards to walk away on good terms and as a respected figure in the game.
CgAGVWEsjTOAQu2NAAEeb3gYIaE988.jpg.webp

Ward, formerly the loan and pathways manager at Liverpool, was promoted off the back of his stellar reputation, and has since taken on more influence.
Meanwhile, Edwards joined the club in November 2011 as their head of performance and analysis, and then became their director of technical performance.
After that, he took on the role as technical director, before then moving on to the sporting director post, which he has held since November 2016.
He enjoys a good connection with supporters, primarily because of his involvement in some of the most recognisable incomings at Anfield.
CgAGVWEsjTOAMCSxAAD1G-COAYE855.jpg.webp

Part of their 'transfer committee', Edwards helped broker moves for Mohamed Salah, Virgil van Dijk, Alisson, Sadio Mane, Andy Robertson and Georginio Wijnaldum.
And, just as adept at banking big fees for outgoings, Edwards was typically hands-on for Philippe Coutinho's sensational £142million switch to Barcelona.
Seemingly in some of his final acts in his role, Van Dijk, Fabinho, Alisson and Alexander-Arnold's contracts were extended by Edwards.
As a result of their off-field resurgence, led by Fenway Sports Group and employees such as Edwards, Liverpool were able to end their wait for a Premier League title.
CgAGVmEsjTKAKMr-AAERLU3d7o0489.jpg.webp

CgAGVmEsjTKABbwSAADOwzfj-uI532.jpg.webp

They also won the Champions League in 2019, and Edwards' involvement in their glut of trophies over recent seasons has been recognised.
His first steps in football came as an analyst at Portsmouth, managed by Harry Redknapp, in 2003. He then joined him again at Tottenham in 2009.
There, Edwards helped to improve the analysis department, paving the way for their progression into the Champions League. He then went on to move to Liverpool.
coin.519c78c.png

Relate
 
Mimi niliangalia mpira na wala sijaenda kucomfirm matokeo niliyobeba Mfukoni that's why nasema tumecheza Vizuri.

Ila tumeshindwa kuibuka na ushindi kwa sababu ndogondogo tu za kiufundi.

- Kwanza: Kuna wachezaji ambao tayari zile skills zao za kimpira zimeshapotea ambao ni Mane na Firmino.
Firmino: Hakupaswa kuanza kwenye game ya jana na ukweli usiofichika tokea last season hakupaswa kuwa Mchezaji wa kikosi cha kwanza kwani hana tena kabisa uwezo, hivyo yeye akiwa kama Striker anakuwa sio tishio tena kwa maadui.
Mane: Pia amepoteza skills za kudribble na kufanya maamuzi, he can't shot, can't score, can't dribble and can't pass. Anaburuta mipira mingi na kuishia kuiwacha miguuni mwa adui, hivyo hakuwa threat kwenye Defence line ya Chelsea.

Pia kuna wachezaji waliocheza chini ya kiwango:

1) Robertson
2) Henderson
Hawa ni wachezaji ambao kwa jana walikuwa hawajui wanafanya nini uwanjani, kwa sasa Tsimikas yupo bora kuliko Robertson na anaweza kuchukua namba ya Robbo.
Henderson hapaswi kuwa Mchezaji wa kikosi cha kwanza kwani ameshapoteza uwezo.
Bro unakumbuka nilikuambia Mane hawezi hata kujidribble...

ulinicheka. japo kweli inachekesha hahahah ila ukweli ndio huo.
 
Nakuelewaga sana mkongwe. Hizi timu zifuatazo Chelsea, Liverpool, Man City plus man u atakae onesha kiwango kizuri adi January ndiye atakae beba ndoo may.

Ivi rafiki ako malyafyale mwenyekiti wa Liverpool halisi alipotelea wapi?
Yes... wasipopata injuries za key players kwa muda mrefu

atakayebeba atastahili.
 
End of transfer rumours..

Dirisha linafungwo leo je hawa tupati hata mmoja..

Jarrod Bowen from Westham.

Ismaila Sarr from Watford

Bissouma from Brighton

Traore from Wolverhampton.

Saul from Atletico Madrid with loan option.

Mikkel Damsgaard from Sampdoria

Departures.

Origi.

Jones to Villa.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom