Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Transfer in numbers.

How your bought during the summer window...

Screenshot_20210901_080136_com.android.chrome_edit_102731727596824.jpg

How your club sold players during 2021 summer window..
Screenshot_20210901_080223_com.android.chrome_edit_102753706866091.jpg

Here's where it matters: what was the final net spend after factoring incomings and outgoings?

The top three teams for net expenditure remain unchanged from the spending chart, with Arsenal the most spendthrift club with a £131.8m net spend, followed by Manchester United (£103.7m) and Manchester City (£72.7m).

Hapa unachukua total ya kununua na total ya kuuza unapata jumla iliyotumika na kila timu.. Ina maana Liverpool msimu huu wa mauzo tumepata £24.5m.
Tumenunua mmoja kwa £36.0m minus mauzo £24.5m = £11.5m net spend by Liverpool this window.

Screenshot_20210901_080334_com.android.chrome_edit_102767609315568.jpg

YNWA
 
FSG transfer Model at Liverpool

FSG have always operated a business model in which while they do not take any money out of the club, all new buys must be financed by player sales, or from other expenditure they generate.

Hivi na madhara ya covid kibiashara kweli hawa wapo serious hayo mapato yatoke wapi na msimu wote 2020 2021 kima shaka mashaka financially yaaani.

Tutaelewana.

YNWA
 
Du soona tuna wa join DullyJr na Aaron Arsenal kwenye haya mambo...

Hii ni EPL sio American soccer.. What has worked 2019 might not work 2021 so mixing new incomings with the current boys unapata something new in the field as long as quality incomings...

So meaning Elliott, Jones, Jota, TAA watakua below 30 by 2023 hahaha...

Yaaani tuna ma babu FC.

YNWA
Mkuu ni kweli Soccer kwa sasa inahitaji mpunga mrefu na kusajili wachezaji wenye viwango. Klopp ameitengeneza Liverpool mpaka sasa Liver imesimama. Lakini Mabos wake ndiyo wanamuangusha katika kuimarisha timu. Assume Salah na Jota au TAA wamepata injury kwenye Safu yenu ya ushambuliaji kumpata mchezaji kama Salah kwenye kikosi ni ngumu sana.
Naamini dirisha ndogo mtasajali wachezaji kolimba ya Holland.
 
Kilichowapata Chelsea ya akina Drogba..Anelka...Terry..Lampard..Ivanovic...Pereirra...Maluda..Bosingwa...A. Cole
Ilitokea wachezaji karibia wote wamechoka kwa mpigo. Naona kinawanyemelea Liverpool
 
Kitu Pekee ninachokiona ni kuwa Top Reds from UK wanataka kutuaminisha kuwa Klopp kutuletea EPL na UCL ni HISANI na wala sio Kazi yake.
Hivyo ukizungumza weakness yeyote juu yake utaambiwa ametuletea EPL na UCL, naamini miaka 20 mbele tutaendelea kusimangwa kwa hizo UCL na EPL.

Haya bhana mimi najipanga kwa miaka 20 mbele hata kama hatutabeba Kombe lolote bali nitasubiri kupokea Masimango ya kuwa ametupa EPL na UCL.
 
Mwezi wa gundu kwa Liverpool unakuja soon...

Subili wachezaji wakacheze kimataifa ,(world cup qualification) ...

Then hao hao warudi kucheza ,epl ,uefa ,fa ,carabao ...

Kama hamjui baada ya international break game ni baada ya siku mbili ,uefa + epl ...

Mane mtamkataa hadharani mbele ya camera ..

Salah hoiiii....

Bobby majeruhi ...

Hizo ndizo nguzo za Liverpool ,hawa vinabo kina keita ,ox ,hendo ,watakuwa wanakamilisha ratiba tu .....
 
We jamaa acha uchawi wa mchana mchanA
 
Kitu Pekee ninachokiona ni kuwa Top Reds from UK wanataka kutuaminisha kuwa Klopp kutuletea EPL na UCL ni HISANI na wala sio Kazi yake.
Hivyo ukizungumza weakness yeyote juu yake utaambiwa ametuletea EPL na UCL, naamini miaka 20 mbele tutaendelea kusimangwa kwa hizo UCL na EPL.

Haya bhana mimi najipanga kwa miaka 20 mbele hata kama hatutabeba Kombe lolote bali nitasubiri kupokea Masimango ya kuwa ametupa EPL na UCL.
Kwa mwendo huu, akitoka Klopp tutakuwa kama Asenali aisee!
 
Kwa sasa tumeongeza machine ingine ya kuwasagasaga ninyi kuku ..huyu Saul ni balaa na nusu ninyi pambaneni mshike angalau nafasi ya tatu au nne huko maana ubingwa tayari ushajulikana unatuwa wapi.
Hapo kati kwa sasa tuna option za kushato. Hahahaha This is Chelsea na mutakoma huu mwaka..

CFC
 
Mkuu ni kweli Soccer kwa sasa inahitaji mpunga mrefu na kusajili wachezaji wenye viwango. Klopp ameitengeneza Liverpool mpaka sasa Liver imesimama. Lakini Mabos wake ndiyo wanamuangusha katika kuimarisha timu. Assume Salah na Jota au TAA wamepata injury kwenye Safu yenu ya ushambuliaji kumpata mchezaji kama Salah kwenye kikosi ni ngumu sana.
Naamini dirisha ndogo mtasajali wachezaji kolimba ya Holland.
We have been lucky hata last season kumaliza big 4 hivyo this season am not sure lady luck is enough to sail us through top 4 spot...

Vs Chelsea niliona the great nightmare we had last 2 seasons of not being clinical enough to score goals..

Ki ufupi without Salah goals we might be languishing hukooo nafasi ya 6 ama 7..so i cant imagine the Pharaoh being injured and the impact italeta kwetu.

Well reality ni kwamba hatuja sajili as many fans expected.

FSG wanaishi kwa kopi na ku paste just because hawa wachezaji walileta UCL na EPL doesn't mean they will repeat the same wins again.. Its can happen but we need other teams to be poor than we are and honestly sioni hilo likifanyika..

The good thing though ni kwamba Liverpool we are no longer a selling club kama miaka hio kila msimu ilikua lazima our best players wangeodoka kwenda kwingine al least with Klopp hili sasa limezimwa kuna continuity. Zamani Allison, Fabinho, Mane, Salah, Firmino, Robertson, TAA wangeshasepa long time..

Muda utasema.

YNWA
 
Kwa sasa Liverpool imekuwa kama Chadema na CCM yani.

Imagine kila siku from nowhere tunaletewa taarifa za NET SPENDINGS, swali Kwanini sisi Mashabiki wa Liverpool tunapolalamika huwa tunaletewa issue za NET SPENDINGS?

Je Washabiki wa Liverpool tunaweza kujadili ni nini hasa lengo la kuletewa taarifa za NET SPENDINGS pale tunapotoa malalamiko kwenye Timu?

Je, Goal and Ambition ya Liverpool ni kubalance NET SPENDINGS some Nil kuelekea Negative?

Nawasilisha.
 
Msimu huu Nyota ya Elliot ipo Angani inamulika but Mdogo wangu Jones naona wazi kuwa ataandamwa na Damu ya Kunguni.

Kwa kipaji alichoonesha Jones last season sio wa kuwa asigaiwe japo dakika 10 kwa kila game.
 
Pia huyo dogo hatakiwi kutumika kwa dakika zote ni kumchosha ingefaa ajifunze kidogokidgo tatizo Klopp hajiamini kutumia watu wa tofauti.
 
Story za Rent Boys:
- Joginyo ana deserve uchezaji Bora na Ballon D'Or

Sababu zao:
  • Joginho kabeba UCL
  • Joginho kabeba Euro Cup

Mwaka 2019 mashabiki wa Liverpool tulipompigania VVD apate Ballon D'Or kwa sababu ameiwezesha Liverpool kubeba UCl
- Walituambia kuwa Makombe ni Collective achievement na sio Jitihada za Mtu mmoja hivyo hawezi kupewa Ballon D'Or kwasababu Liverpool imebeba Kombe, bali anayesahiki kupewa Ballon D'Or ni Messi kwasababu ndiye Mchezaji Bora.
Ikumbukwe kuwa Messi hakubebwa Kombe lolote.

SWALI:
  • Je, Rent Boys wamesahau hoja zao za "Collective achievement"?
  • Je, wamesahau hoja zao kuwa UCL & Uero Cup ni Mafanikio ya Timu nzima na sio Jitihada za Joginho pekee?
  • Wanaonaje Balloon D'Or ikaenda tena kwa Messi au Lewando?

Rent Boys Wana safari ndefu kufahamu soccer
 
- Rent Boys wanajigamba kuwa Watabeba Makombe yote kwasababu tu wamemfunga Mkiwa Arsenal.

- Manure wanajigamba Watabeba Makombe yote kwasababu tu wamemsajili Sancho.

- Man City wanajigamba Watabeba Makombe yote kwasababu tu uwezo wa kufanya hivyo wanao.

- Liverpool hatujigambi kubeba Makombe yote kwasababu ni obviously uwezo huo hatuna, but tuna matumaini tu ya kuweza kubeba EPL au UCL.

Haya wacha tuone nini kitatokea kwa Hao WASHINDANAJI WATATU ambao kila mmoja anajigamba kubeba Makombe yote.

MY TAKE: Katika majigambo yao waelewe kuwa hakuna shared ya Kombe, ni lazima atabeba mmoja tu kati yao! Hivyo kuna Wawili kati ya hao Watatu wataibuka na kilio.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom