Ni kwema ndugu ryana fan.
Jana kabla ya ile kadi gemu ilinoga sana yaani ilikua proper Reds Vs Blues.. Tangu atue Roman darajani hua tukikutana hakuna masihara ni mchaka mchaka na jana was no exception mlijipanga vyema kutotoka bila pointi Anfield na hakika mlifanikiwa nadhani baada ya gemu uliona vijana wako walivyogonga tano kuashiria job done..
Kuchukua ubingwa miaka hii inakulazimu pia kuwafunga wanaojua ama washindani wako maana EPL kwa sasa ushindani unazidi kuimarika kila kukicha hivyo pointi 3 zinasakwa kama ndio gemu ya mwisho.
Kwa sasa binafsi nachukulia gemu after gemu kwamba tupo kuleta ushindani kuchukua taji aisee japo naona wengi ma pundits wanawapa Manchester City, Chelsea kama most likely destination but have to aim for the top honours sana tu.
Ile kadi i felt sorry for James he was in the right place but used his hand to prevent the goal which as a scoring opportunity the law says ni straight red card...
Cant picture what were the words Thomas told his boys half time maana khaa walirudi with a plan..
Ki ufupi Chelsea do know how to kill the game sio gemu ya jana tu mbali that in thier DNA so binafsi i knew we had a mountain to climb kipindi cha pili.
Tuna pointi 7 with 35 games to play hivyo its still damn early to predict how the games will unfold so lets just enjoy as much as we can then come January 2022 tutaanza kuona nani anakwenda kuchukua kombe mazima.
YNWA