Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Achana naye ollachuga Oc hajawahi kuwa serious atakuumiza kichwa bureJota sio takatakaa...matusi sio uungwana...hoja ndo kila kitu...
Huwezi ...mpima Kai kwa goli moja la UEFA...ingekua ivo Basi huyo Kai huwezi mlinganisha na Origi...maana origi alitoa mchango mkubwa kwa Liverpool kupata UEFA....
Hivi kwa lineup ya Chelsea...Ni mchezaji gan ata break na kuingia kwenye first eleven ya Liverpool ukimtoa ngolo!?
