John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Mshaanza kupata injury ya Robertson bado kina naby keita na mwenzie chamberlain hawajapata....mnataka muishangaze dunia Kwa kipi?Ligi ianze tu tuishangaze Dunia ya hawa Chequebook managers.
Iwapo hatutapata injuries kama za Msimu uliopita bado nina imani na hii Timu kwa 100% kuwa Msimu ujao itafanya makubwa.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app

