Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wanaleta American policy ya sell first before buying ...matokeo yake watu washajua tuko desperate kuuza hawaji .. wanasubiri dirisha likaribie tuuze bei poa...

Hii policy inaanza kutuumiza ...
Mpaka sasa roho safi Manchester City bingwa mtarajiwa kwa usajili huu wa kwetu wa ku unga unga mbona hatuna chetu...

Yaani mpaka kuuza ndio kununua...

Huku kikosi cha kwanza kwanza kinaelekea kuchoka maana wale top performers wanaingia almost 30 yrs hivyo rebuilding lazima ianze msimu huu.

YNWA
 
Wewe unaishi dunia ipi?? Kila mtu anajua ubingwa unapenda darajani ..wewe upo upo tu..eboo!!
 
Mkuu city ya sasa inatafuta CL ,so tunaanza msimu kivingne ,njoo uone Leo tunavochukua kombe mbele ya lecister city
Sijui kwa nini hii UCL inawapiga chenga vile maana bado mna kikosi kizuri mno sema tu kocha wako anjiresi vimbaya mno kwenye selection ya kikosi hata ile gemu ya Chelsea ni Pep aliwaangusha kwa kutafuta headlines...

Kila la kheri gemu ya leo.

YNWA
 
Ollachuga Oc kwema kaskazini?

Hua nakwambia uwe na maneno ya akiba hii ndio EPL ndugu..

Nimeona mpo kwa Lukaku mazimaaaa hongereni sanaaa....

Kila la kheri kumvua kipara ubingwa wake...

YNWA
Msimu ujao tutaongea vizuri maana ni mwendo wa kugawa vibao mpaka kieleweke.

Werner Lukaku Mount -- hii front itavunja vunja kila aina ya ukuta.

Werner Harverts Mount -- hii pia itakuwa ni balaa na nusu.
#CFC
 
Werner huyu huyu na kipa peke hua anakosa..

Lukaku mmepigwa ndugu miaka 28 na ule mkwaja wote duuh hizi ela za mafuta hua zina balaaa sokoni.

YNWA
 
Werner huyu huyu na kipa peke hua anakosa..

Lukaku mmepigwa ndugu miaka 28 na ule mkwaja wote duuh hizi ela za mafuta hua zina balaaa sokoni.

YNWA
Werner King of assist ..hakuna ambaye hajui kuwa Werner ni threat kwa timu pinzani ..hivyo ukimweka na Lukaku Ndo kabisa wakina vvdna Allison wajiandae ..utakuja kunishukuru baadae..
 
Below analysis is according to the reputable BBC Sport.... the comments quoted in red present a HUGE statement going into the new season from LFC's perspective.

Can our front 3 really live up to the hype though? Remains to be seen.

Personally I think Bobby's impact has considerably waned while the promising Jota still remains a work in progress.

I would therefore persist with Jota playing in the middle while bringing in more competition on either flank - so I would go back to Molineux and grab a certain Adama Traoure...... am convinced Klopp will make this kid a Ballon d'or contender in 2 yrs.

1628414115310.png
 
For me, at this minute Klopp is still the best coach on the planet no matter what other people say.

Over the past 4 seasons he has used modest resources at his disposal to achieve things with LFC which none of a Pep, a Zidane, a Conte, a Flick or any freaking body would be able to, using the same resources.
 
Werner King of assist ..hakuna ambaye hajui kuwa Werner ni threat kwa timu pinzani ..hivyo ukimweka na Lukaku Ndo kabisa wakina vvdna Allison wajiandae ..utakuja kunishukuru baadae..
Hivi mlitoa mpunga wote ule kwa kuleta assist tu pale darajani....

VVD karudi Lukaku hana njia ujue apambane kuwafunga Norwich nk

YNWA
 
Tayali huko tushatangazawa kifaa kipya tena kataika nafasi mpya ya midfild ha ha haa
Dogo asili yake ni mshambuliaji wa kulia ila ndo hivyo kapewa majukumu ya kati maana kwa ufundi wa Kloop kuna watu hawagusiki.
 
Yaaani huyu Klopp mpaka dirisha linafungwo mbona tutasema yote.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom