Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
AS wanasema Barca wanafanya hivyo ili ku avoid kutoboka €50M ambazo bado wanadaiwa kutoka kwenye hilo deal la kumnunua Coutinho 2018.Rumour Mill.
Barcelona have offered Philippe Coutinho back to Liverpool, it has been claimed.
YNWA
Ingelikua aibu westham ety kwenda CL
Kuna kipindi alikua hadi wa tatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona nafasi ya tatu inatusu mechi ya mwisho endapo tunatoka salama hapa.
YNWA
Reports in Spain say Barcelona have offered Coutinho to Liverpool.Rumour Mill.
Barcelona have offered Philippe Coutinho back to Liverpool, it has been claimed.
YNWA
Rotation ni nzuri. Rotation inaibua vipaji inapunguza utegemezi.Ishu ndugu ni namna ya FSG wanavyoedesha usajili klabuni. Wao wanataka timu ijiedeshe yenyewe sokoni bila wao kutoa ela wala kudhamini mkopo benki. Huu ufinyo wa kikosi naona bado utaedelea kuwepo kwani mipango yao ni ile ile sell before buying.
Hilo la kupeana mzunguko ndugu mmh kwa huyu Klopp sijui itakua aje maana yeye huwapa hati miliki wachezaji baadhi ya namba kwa mfano tazama Salah, Mane wakipewa sub wakianzia benchi wanavyonuna yaaani. Tazama dogo Tsimikas yaani kaambulia sijui mechi ngapi huku dhahiri tukiona Robertson amechuja haswa msimu huu. Kwa hilo ili lifanikiwa lazima Klopp akumbali lawama kwa manufaa mapana ya timu.
YNWA
Kwa kweli ni kama muujiza aisee.Hongereni kumaliza nafasi ya tatu japo hamkuwa kwenye form. Hii ni footbal
Mkuu Shaqir get lost most of the times anaibuka na one game wonder. Sio tegemezi hakika hio £12m wachukue chap.Rotation ni nzuri. Rotation inaibua vipaji inapunguza utegemezi.
Neco Williams
Tsimikas
Jones
Shaqiri
Hawa tungewathamini kama wangepewa game time ya kutosha.
Kama tulivyoona kwa Phillips. Ila klopp muoga
Haya mambo ya third party Uingereza yalikataliwa tangu ile ishu ya Tevez na Mascherano miaka hiooo kuleta balaa.AS wanasema Barca wanafanya hivyo ili ku avoid kutoboka €50M ambazo bado wanadaiwa kutoka kwenye hilo deal la kumnunua Coutinho 2018.
Ubaya ni kuwa sio Liverpool inawadai maana Liverpool ililiuza hilo deni kwa third party kwahiyo Barca anataka kutuuzia Coutinho apate hela ya kulipa deni.
Haya mambo ya third party Uingereza yalikataliwa tangu ile ishu ya Tevez na Mascherano miaka hiooo kuleta balaa.
Mkuu wewe waonaje kwa £36m tumchukue?..
YNWA
Tuchukue aje apige kazi.Haya mambo ya third party Uingereza yalikataliwa tangu ile ishu ya Tevez na Mascherano miaka hiooo kuleta balaa.
Mkuu wewe waonaje kwa £36m tumchukue?..
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1803973
Tuwe na subira dirisha lenyewe bado bado.Tuchukue aje apige kazi.
Barcelona pale wamekula hasara duuh.Tumchukue Tu kuliko aende Everton