Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nyie ndio mlikuwa mnatafutiwa ushindi maana goli mmepata dakika ya 95 inaelekea ya 96 huko wakati ziliongezwa dakika 4 tu.
Aisee. Wakate rufaa kama hawajaridhika 😂😂😂😂😂😂😂.

Itakua kulikua na time wastage ndio maana refa akaongeza dakika.

YNWA
 
Nyie ndio mlikuwa mnatafutiwa ushindi maana goli mmepata dakika ya 95 inaelekea ya 96 huko wakati ziliongezwa dakika 4 tu.
Corner ilipatikana kabla ya dakika ya nne kufika.
Corner imepigwa dakika ya nne na sek. Ya 17 hiyo dakika ya 5 kwenda ya sita ulikua umekalia tv unaangalia kochi?

Kaangalie mechi ya Liverpool vs Newcastle dakika ziliongezwa ngapi na zikachezeshwa mpaka ngapi na nani aliumizwa nazo?????
 
Amka wewe bado umelala?
 
Amka wewe takataka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Klopp ni Racist ..M'baguzi angalia jinsi alivyoua kipaji Cha Keita na Origi
 
Liverpool mtazikumbuka point za Newcastle, Leicester atafungwa na Chelsea na game ya mwisho atashinda kwa Spurs, hapo ndio kimbembe cha Europa minapokuja.
Mule mule tunaelekea mzee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Klopp ni Racist ..M'baguzi angalia jinsi alivyoua kipaji Cha Keita na Origi
Wewe naona huu uzi wa Liverpool sio wako labda umekosea tafuta uzi wa Gor Mahia, kauwa nini Keita na Origi? Origi ana bahati hata kuitwa mchezaji wa Liver kiwango chake huko Fulham labda Keita yeye kila siku yuko Hospital tu. Mbona hakuuwa kipaji na Wiln, Mane. Gomez na wengine unaweza unacheza huwezi utakalia bench tu. ondoa ujinga wako tafuta team umchukue na origi.
 
Points za Newcastle tunazikumbuka kweli lakini Kati ya Chelsea na Leicester mmoja wapo lazima atupishe.
Na usijeshangaa tukamaliza nafasi ya 3 badala ya 4.
Lakuvunda halina ubani msimu ujao Futuhi inakuhusu leo unafungwa ukijitahidi sana unadraw,nifutuhiiii!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…