3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,885
Nawasalimu kwa jina la UEFA..Jana rasmi Ole katupeleka Uropa baada ya kuona kuwa sisi ni Wazembe
JIBU: UROPA IENDELEE
Nawasalimu kwa jina la UEFA..Jana rasmi Ole katupeleka Uropa baada ya kuona kuwa sisi ni Wazembe
Sisi hatuna neno mbona yaaani.Ole kaamua kuwapania ..
Kaweka madogo Leo ili game yenu mpasuane vizuri ...
Yaaan anawapeleka rasmi Europa![]()
Liverpool has to evolve kwa wachezaji tulionao sasa lazima aidha baadhi wauzwe ama wanunuliwe ku supplement kikosi.Mm naona aendelee kuwepo tu naamini bado ni msaada kwa sehemu fulani kwa timu, hii ya kuuza uza wachezaji wakati sisi huwa tunaishia kusajili kwa tetesi tu hivyo na hatusajili imaetugharimu sana msimu huu, tulimtoa Lovren matokeo yake mabeki wote pacha tukaanza kuaangaika na akina Henderson kuwa mabeki mwisho tukawa njia kila timu inajipigia tu
Hii timu hata next season sioni namna gani itachomoka na kocha wao anayeamini hewa ....
30 year loading ...
Yaan huyu mane,salah ,bob,vvd ,alison wanaenda kucheza na genk ,villarial ,sulzburg ,hivi mpo serious kweli?
Mim kama mchezaji nagoma kabisa ,siwezi vumilia hizo aibu ,nachukua beg langu naondoka tu ....
Mimi nachojua nipo final CL...!Wewe hiyo UEFA unayoshiriki kila mwaka ni kusindikiza tu wengine na Mwaka huu kombe linaenda kwa Chelsea
Mimi nachojua nipo final CL...!
Kama kombe ni la chelsea basi angeshachukua ,kwanini asubili wanaume tuingie uwanjan dakika 90 ziamuae ..!
Huyo ni spur na arsenal ..Hata spurs na Arse8 walishafikaga fainal
Huyo ni spur na arsenal ..
Hii ni man city ,huoni kama hata majina ni tofauti
Najua umechanganyikiwa ,..Yaani Uefa hamwezi beba PEP kwa Tuchel mbinu zakumfunga hana 2 matches 0 wins so far
Najua umechanganyikiwa ,..
Huna uhakika na top 4, umesubili kwenda kucheza futuhi ....
Lazima dish liyumbe tu ...
Kubishana na takataka kama wewe ni kupoteza muda ,...
Wakuongea lugha moja na mimi ni psg ,buyern ,madrid ,barcelona ,na chelsea ...
Wewe huna hadhi hata ya kusogelea wanaume kama sisi ....
Imagine unaenda kupambana eurpo na villarial huko ,sijui sulzburg,genk ,daaaa
Pole sanaa
Bamford atulie alipo hatumhitaji.Tuache kudanganyana na kuwa Brainwashed kiasi cha kutia aibu! Kuwania saini za wachezaji aina ya Bamford si kwasababu Michael Edward ni Genius bali FSG wamefanikiwa kututeka akili zetu.
Huna kikosi cha kuifunga man utd wewe ..Permutations on an EPL top 4 dogfight between LFC, Chelsea & Leicester:
The Chelsea loss vs Arsenal last nite has thrown the ball back into LFC's court for a top 4 spot.
If Leicester wins their remaining 2 games, they will achieve a max of 72 points.
If Chelsea wins their remaining 2 games, they will reach a max of 70 points.
If LFC wins their remaining 4 games, they will reach a max of 69 points.
Now... when, where and how does LFC have a chance of sneaking its way into top 4?
When: 18th May
Where: Stamford Bridge where Chelsea will be playing Leicester
How: If either of the 2 drops the points and LFC wins all their remaining games to achieve the 69-point cap then....
- a draw will mean Chelsea's cap will be down to 68 points (could be surpassed by LFC). Leicester's cap will be 70 points
- a loss to Chelsea will mean Chelsea's cap will be down to 67 points, a much much better result for LFC
- a loss to Leicester will mean Leicester's point cap will be reduced to 69, same as LFC's cap to be decided by a superior GD
Note: the above permutations havent taken into consideration the fact on game # 38, that Leicester will be playing vs T Spurs while Chelsea vs Aston Villa.
WE SIMPLY MUST F....G WIN ALL OUR REMAINING GAMES, STARTING WITH THE MANURE TONITE!