Kama hii ndio Liverpool ya msimu ujao basi sitashangaa mkichezea vipigo vya hatari kwan mpaka sasa hamnauwezo Wa kumfunga hata Brighton ,Newcastle,lead hata Sheffield anaweza chukua point hapo anfield...
Wacha ndoto za mchana ,kama msipo fumua kikosi mnaenda kushuka daraja I promise you ..
Mpira hauna bahati ni kuwekeza ..
Unasema
TAA ,robo, mane,salah ,vvd ,Gomez ,hao ndio walikuwa nguzo ya Liverpool ndio wamewapa EPL +UEFA kama unadhani wao ni robot wanatumia mafuta subili uone next season ...
Yaan kama unasema hao ndio wanaenda kutetea ubingwa next season ,subili utaona mwenyewe



Akili inatamani kucheza mpira ila mwili unakata ...