Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nani hayaogopi majogoo, sisi Liverpool halisi tumejichimbia huku Uswekeni tumewaachia liverpool maslahi cc malafyale
 
Mkuu hakuna njia ya Liverpool kusimama tena zaidi ya kusubili miaka 30 ...

Bingwa Wa EPL anahaso kupambania top 4 ..

Haijawahi kutokea aisee

Mkuu hii ni kawaida sana. May be kama wew ni mgeni kwenye ulimwengu wa soka. Hakuna sababu ya kuwalaumu Liverpool. Kwani misimu miwili mfululizo wametumia Energy nyingi kupita maelezo. Ukizingatia wengi wa wachezaji ni wale wale.
 
Kuniambia nisubiri 30 yrs ni kunikosea heshima...Next SEASON...NARUDI KWA FUJO MKUU..MWAKA HUU NAKUBALI NIMEPOTEZA...BT TOP FOUR ..NIPO...MARK MY WORDS.
 
Mkuu hii ni kawaida sana. May be kama wew ni mgeni kwenye ulimwengu wa soka. Hakuna sababu ya kuwalaumu Liverpool. Kwani misimu miwili mfululizo wametumia Energy nyingi kupita maelezo. Ukizingatia wengi wa wachezaji ni wale wale.
Umenena vema
 
Hoi team imetumika miaka mitano sasa mfulululizo bila kupumzika ni haki tupitie kipind kigum
 
Mkuu hakuna njia ya Liverpool kusimama tena zaidi ya kusubili miaka 30 ...

Bingwa Wa EPL anahaso kupambania top 4 ..

Haijawahi kutokea aisee
Duuh jitahidi kua na maneno ya akiba.

Bila kutazama miaka ya nyuma sana. Hivi karibuni 2016 Leicester walichukua ubingwa EPL je msimu uliofuata hata top 6 hawakupata na walimaliza msimu uliofuata nafasi ya 12.

Chelsea nao wakachukua ubingwa 2014 2015 na hata hio Top 6 hawakufika walimaliza msimu uliofuata wakiwa nafasi 10.

Chelsea wakachukua ubingwa tena 2017 na msimu uliofuata wakamaliza Ligi wakiwa nafasi ya 5.

Manchester United walikua mabingwa EPL 2013 lakini msimu uliofuata wakaambulia nafasi ya 7 EPL.

Sasa ajabu nini sana Liverpool kupambana angalau apate hata kushiriki Eurupa 🙆🏿🙆🏿.

YNWA
 
Duuh jitahidi kua na maneno ya akiba.

Bila kutazama miaka ya nyuma sana. Hivi karibuni 2016 Leicester walichukua ubingwa EPL je msimu uliofuata hata top 6 hawakupata na walimaliza msimu uliofuata nafasi ya 12.

Chelsea nao wakachukua ubingwa 2014 2015 na hata hio Top 6 hawakufika walimaliza msimu uliofuata wakiwa nafasi 10.

Chelsea wakachukua ubingwa tena 2017 na msimu uliofuata wakamaliza Ligi wakiwa nafasi ya 5.

Manchester United walikua mabingwa EPL 2013 lakini msimu uliofuata wakaambulia nafasi ya 7 EPL.

Sasa ajabu nini sana Liverpool kupambana angalau apate hata kushiriki Eurupa .

YNWA
Kwa level mliyokuwa mmefika hata kama team kupolomoka tungewaona nafasi ya 3 au 4 uhakika ..

Lecister city kuchukua ubingwa ilikuwa kama bahati tu ndio maana wakarudu walikotoka haraka ..

Sasa hii Liverpool inakoelekea hata msimu ujao Hamna uwezo Wa kupambania ubingwa...

FSG wabahili, mtaweza nunua wachezani gani wa kuja kubadili hali iliyopo saizi ? Mnauwezo Wa kumwaga hata €200milion kuchukua wachezaji jibu ni kuwa hapana ?

Mnamsubili vvd na gomez ndio walete mabadilko ...

Miaka 30 loading ...
 
Liverpool hata next season mtayumba, sioni mkibadilika kutoka ktk hali hii mliyonayo sasa
Front 3 yenu inakosa magoli sana, ili liverpool izaliwe mpya inaitaji ku'spend si chini ya pound laki mbili, wale wamarekani wachumi mno, hawatotoa mzigo wa kutosha
 
Duuh jitahidi kua na maneno ya akiba.

Bila kutazama miaka ya nyuma sana. Hivi karibuni 2016 Leicester walichukua ubingwa EPL je msimu uliofuata hata top 6 hawakupata na walimaliza msimu uliofuata nafasi ya 12.

Chelsea nao wakachukua ubingwa 2014 2015 na hata hio Top 6 hawakufika walimaliza msimu uliofuata wakiwa nafasi 10.

Chelsea wakachukua ubingwa tena 2017 na msimu uliofuata wakamaliza Ligi wakiwa nafasi ya 5.

Manchester United walikua mabingwa EPL 2013 lakini msimu uliofuata wakaambulia nafasi ya 7 EPL.

Sasa ajabu nini sana Liverpool kupambana angalau apate hata kushiriki Eurupa .

YNWA

Umemjibu kibigwa sana huyu jamaa wa City. Hanaga kumbukumbu kabisa.🤪🤪
 
Kwa level mliyokuwa mmefika hata kama team kupolomoka tungewaona nafasi ya 3 au 4 uhakika ..

Lecister city kuchukua ubingwa ilikuwa kama bahati tu ndio maana wakarudu walikotoka haraka ..

Sasa hii Liverpool inakoelekea hata msimu ujao Hamna uwezo Wa kupambania ubingwa...

FSG wabahili, mtaweza nunua wachezani gani wa kuja kubadili hali iliyopo saizi ? Mnauwezo Wa kumwaga hata €200milion kuchukua wachezaji jibu ni kuwa hapana ?

Mnamsubili vvd na gomez ndio walete mabadilko ...

Miaka 30 loading ...
Ingekua kutumia ela ndefu ndio kupata ubingwa basi tangu wametua mabilionea wenu hapo Ethad mngekua mabingwa wa EPL tangu 2008 mkichukua kila msimu na hata UCL mngekua nayo lakini mpaka sasa mpo kama hampo UCL.

Ipo hivi Liverpool sisi ni smart buying chini ya Klopp na makombe yanakuja.

Mark my words Liverpool tunarudi katika ubora msimu ujao na hata sasa Kocha wako anasema tishio kwake msimu ujao ni Liverpool sasa kama wewe unajua zaidi ya Pep utajiju 😂😂😂.

FSG ubahiri halina ubishi wanasema hawana visima vya mafuta.

Usajili kwetu umeanza mapema dogo Kanoute ametua sasa huyu combination yake na VVD ni noma Yaaaani ubora wa Robbo na TAA utauona msimu ujao.

Furahia sasa maana msimu ujao mtanuna.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom