Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama ambavyo Kocha mwenye akili timamu alimuuza Coutinho akiwa moto kweli kweli ndio hivyo hivyo na sasa Salah atauzwa. Na pengine kwa kutazama pesa ya Coutinho ilivyotumika vyema kuimarisha kikosi basi naamini na hii ya Salah itakua vile vile ndugu.

Zipo tetesi tena kwamba anaeuzwa ni Mane na tayari Klopp kashaamua kwenda Barcelona kumchukua Dembele kama like for like replacement.

Muda utasema.

YNWA
dembele si ni keita mwingine jamani?
 
dembele si ni keita mwingine jamani?
Bwana wee dogo ana shinda sana kwanza attitude yake hua mtihani sana aisee.

Ni kweli Mane ame drop kiwango kuanzia pressing, scoring, positioning, attitude nk lakini mbona kama ni kikosi kizima kwa nyakati tofauti wamekua na dry spell fulani hivi akiwemo Mwalimu wao Mkuu the German Nazi.

Muda utasema.

YNWA
 
Tulisaini Watoto wengi tu tukaambiwa Edwards ni Genius anatengeneza Future Team, sasa ndiyo msimu ujao tuanze kuwaona sio kusifia ugenius tu.
 
European Super League.

Kimenuka majuu baada ya mpango wa kuanzisha Uefa Mpya ya vilabu kuleta sintofahamu. Gary Neville anasema vilabu vyote vinavyosapoti huo mpango vikatwe pointi na faini juu. Mpango huo wa ligi mpya hauna baraka za Fifa, Uefa, EPL, La Liga, BL Ujeremani, Serie A, Ligue One nk.

Ni kama ifuatavyo.

Real Madrid president Florentino Perez will reportedly be chairman of the league.

Joel Glazer, John W. Henry and Stan Kroenke - the owners of United, Liverpool and Arsenal - are set to be vice-chairmen.

Manchester United, as well as local rivals Manchester City, reigning Premier League champions Liverpool and London trio Chelsea, Arsenal and Tottenham have all agreed to the new proposal.
Real Madrid , Barcelona and Atletico Madrid are the three Spanish clubs who have agreed to the proposal.

Juventus, AC Milan and Inter Milan make up the 12 clubs who are involved so far.

The statement reads: "UEFA, the English Football Association and the Premier League, the Royal Spanish Football Federation (RFEF) and LaLiga, and the Italian Football Federation (FIGC) and Lega Serie A have learned that a few English, Spanish and Italian clubs may be planning to announce their creation of a closed, so-called Super League.

"If this were to happen, we wish to reiterate that we – UEFA, the English FA, RFEF, FIGC, the Premier League, LaLiga, Lega Serie A, but also FIFA and all our member associations - will remain united in our efforts to stop this cynical project, a project that is founded on the self-interest of a few clubs at a time when society needs solidarity more than ever.

"We will consider all measures available to us, at all levels, both judicial and sporting in order to prevent this happening. Football is based on open competitions and sporting merit; it cannot be any other way.

"As previously announced by FIFA and the six Federations, the clubs concerned will be banned from playing in any other competition at domestic, European or world level, and their players could be denied the opportunity to represent their national teams.

"We thank those clubs in other countries, especially the French and German clubs, who have refused to sign up to this. We call on all lovers of football, supporters and politicians, to join us in fighting against such a project if it were to be announced. This persistent self-interest of a few has been going on for too long. Enough is enough."

Hawa FSG na Glazer family kweli wapo kipesa zaidi yaaani hawana muda wa kuchelewa. Hii dili ni la $6billion has been committed to this new project by the American bank JP Morgan.

Ngoja tusubiri tuone mamboa yatakavyojiri.

Kroenke anaona njia pekee ya arsenal kucompete na big clubs ni kufanikisha mpango wa super league sinc ucl kushiriki kwao ni mtihani

Btw, hii kitu sioni kama itafanikiwa, vyama vya soka katika nchi husika na board zao za league naona wamewakazia from clubs to players watakaoshiriki
Sidhani kama kuna mchezaji yuko tayar kushiriki only super league katika career yake ya soka
 
Without doubt, Pain killer na Ollachuga Oc ni wazaramo wa msanga. Maana wanakelele kama shwaigne waliona ndoo ya makombo. Sio kwa kelele hizo. Kwa taarifa zenu, top 4 chelsea ndio yupo kwenye wakati mgumu kuliko liverpool, westham united na leicester city. Ukiangali game zilizobaki mna game ngumu kuliko hao niliowataja.
Ombeni mpate kikombe cha ucl, la sivyo mnadondokea futuhi. Mkisoma hii post mnaweza kuona kama nimevuta, ila mpo kwenye hatari kubwa ya kukosa top 4 kuliko liverpool.
 
Adjustments.jpg
 
Hahahaha nyie kuku laleni mabandani huko ..wewe umeshatoka UEFA huna unatafuta sa hii kwa hiyo ni muda wa kukaa bandani usije liwa na kicheche hehehe kwa iyo wanaume tukiwa kwenye mapambano huwa hatupangiwi Cha kufanya ..sisi tunatimiza majukumu yetu mkuu ..kuhusu top four Hilo suala tumuachie Thomas Tuchel, kuhusu kubeba UEFA Hilo suala tumuachie Tuchel Thomas, angalia tuna uhakika na FA sasa. Nani hayiogopi Chelsea?? Sisi ni mwendo wa kugawa dozi tu ..aje sijui nani ni dozi tu ..angalia kesho kutwa kitu tunamfanya Madirid (msela amekupiga Mara mbili na umebaki kulia Lia tu)
Huyu Madirid tutamfundisha mpira..wale wazee wazee wote akina Ramos, benzema wataelewa tu.

Sisi ndio Chelsea Sasa ..suala la kubeba makombe hili ni jukumu letu ..wewe katimu kako kameshachoka huna timu Tena ya ku savaivu ndani ya misimu miwili ijayo
Ukipiga hesabu haraka haraka Mane umri unamtupa, Salah naye hivyo hivyo, Firmino ndo kabisa keshajichokea, Babu Milner hata Yanga hapati namba, VVD injury prone, Allison saiv ni Ally bakari, Klopp Hana mbinu mpya tena hehehe ..

Angalia watoto wakina Mount wanakichafua balaa ..mpaka waje wafikishe umri wa akina Salah na Mane watakuwa wamenyanyua kwapa za kutosha.

"Sisi ndio Chelsea" je huyiogopi Chelsea??
#CFC
 
Liverpool owners ni Americans
Manu owners ni Americans..

Very greedy Americans....nahisi washahonga Hadi FIFA ....superligue utakuja Tu hata kama mwakani ....400milion Kwa kila timu sio mchezo
 
Kroenke anaona njia pekee ya arsenal kucompete na big clubs ni kufanikisha mpango wa super league sinc ucl kushiriki kwao ni mtihani

Btw, hii kitu sioni kama itafanikiwa, vyama vya soka katika nchi husika na board zao za league naona wamewakazia from clubs to players watakaoshiriki
Sidhani kama kuna mchezaji yuko tayar kushiriki only super league katika career yake ya soka
Mkuu ni mkwaja tu hamna kingine. Sheria zipo wazi kwamba timu yoyote inayotaka kushiriki mashindano mengine tofauti na yanayotambulika na EPL lazima wawashilishe barua ya maombi ya waruhisiwe kushiriki sasa EPL/FA hawajatoa baraka zao kwenye hii Super Ligi Mpya hata serikali ya UK imewagomea.

Ifahamike hizi timu ambazo ni founding members watapewa kila timu usd 3bn in cash ili kuwezesha matayarisho ya timu kushiriki hii Super League. Hivyo ki pesa zinazokwenda kwa klabu hii Ligi mpya imewaacha mbali mno Uefa ndio maana wamaliki wengi wanaona ohooo tusichelewe fasta wamesaini ili wapate mgao. Ujeremani na Ufaransa wamewagomea kabisa mpaka sasa.

Kinachofanyika sasa ni lobbying ya nguvu sana ili wapate baraka za Fifa, Uefa, FA, La Liga, Serie A nk

Pia watafanya lobbying wapate supporters ambao ni influencial kwenye jamaii na football fraternity.

Mpaka sasa baadhi ya ma pundits nguli Gary Neville, Roy Keane, Carragher wameikataa hii ligi mpya wakisema ni disgrace kwa vilabu vya UK kua mstari wa mbele kwa tamaa za pesa.

Ndio kumekucha.

YNWA
 
Liverpool owners ni Americans
Manu owners ni Americans..

Very greedy Americans....nahisi washahonga Hadi FIFA ....superligue utakuja Tu hata kama mwakani ....400milion Kwa kila timu sio mchezo
Mkuu sio 400m.kwa hizi timu ambao ndio founding members ambazo zipo 12 wao watapata directly usd3 billions.

Hizo timu 8 zingine pesa yao bado haijatangazwa.

Kwanza Real Madrid na Barcelona mpaka sasa wapo ICU ki pesa hivyo kwao hili dili ni angels kiss.

Kazi ipo. Hapa ni rushwa kama rushwa na FBI watakua kimya kwa vile hii ni ya kwao.

YNWA
 
Wewe umeshaona huna pa kutokea una Anza kupiga ramli mapema, unaikataa Hadi timu yako Man Shit

Huu ni wakati wa UEFA kutua London ya kaskazini mkuu.

Wewe huyiogopi Chelsea??
Acha umbumbu wewe chelsea mmepigwa ban ...

Uefa imestop kwa iyoo team zote zimezojiunga na hiyo super league

Man city

Real madrid

Chelsea

Zimetolewa kwenye mashindano ya uefa

Psg ndio hajasaini huo ujinga so yeye ndio anaenda kupewa ndoo ya uefa this season ...

Mmesaini kujoin super league
 
Tulisaini Watoto wengi tu tukaambiwa Edwards ni Genius anatengeneza Future Team, sasa ndiyo msimu ujao tuanze kuwaona sio kusifia ugenius tu.
next season natamani kuona Elliot, Sep V, Billy K wakijumuika na R Williams, Jones, kuwa intergrated kwenye kikosi , huku origi, milner, matip, Gini, Ox wakiondoshwa!

btw why klop hamrate sana Marko G?
 
You will never win any trophy with kids. Hao bado wanahitaji muda zaidi wapelekwe Championship mkopo wapate dakika zaidi kupata uzoefu wa kutosha EPL ndugu hakuna trials.

Klabuni wabakie wachache tu wengine wakapate dakika za kutosha EFL.

Unamuona Nats Phillips alivyosukwa huko Stuggart Ujeremani karejea akiwa moto.

Grujic sijui huyu alikua chaguo la Buvac haha maana naona Klopp hua hajampa nafasi kabisaaaaa.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom