Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu ni mkwaja tu hamna kingine. Sheria zipo wazi kwamba timu yoyote inayotaka kushiriki mashindano mengine tofauti na yanayotambulika na EPL lazima wawashilishe barua ya maombi ya waruhisiwe kushiriki sasa EPL/FA hawajatoa baraka zao kwenye hii Super Ligi Mpya hata serikali ya UK imewagomea.

Ifahamike hizi timu ambazo ni founding members watapewa kila timu usd 3bn in cash ili kuwezesha matayarisho ya timu kushiriki hii Super League. Hivyo ki pesa zinazokwenda kwa klabu hii Ligi mpya imewaacha mbali mno Uefa ndio maana wamaliki wengi wanaona ohooo tusichelewe fasta wamesaini ili wapate mgao. Ujeremani na Ufaransa wamewagomea kabisa mpaka sasa.

Kinachofanyika sasa ni lobbying ya nguvu sana ili wapate baraka za Fifa, Uefa, FA, La Liga, Serie A nk

Pia watafanya lobbying wapate supporters ambao ni influencial kwenye jamaii na football fraternity.

Mpaka sasa baadhi ya ma pundits nguli Gary Neville, Roy Keane, Carragher wameikataa hii ligi mpya wakisema ni disgrace kwa vilabu vya UK kua mstari wa mbele kwa tamaa za pesa.

Ndio kumekucha.

YNWA
Hata hao pundits leo hii sky sports, bt sports wakipata rights watakuwa wakwanza kufanya analysis hakuna pundits atakaegoma or media itakayokataa kuonesha haya mashindano

Hii issue iko zaidi kimapato, its either uefa n co waongeze mkwanja kweny michuano yao tofauti n hivyo itakuwa lose lose kwa pande zote

Janga la corona limeharibu uchumi wa hivi vilabu, 3bn inapokuja mezani kwa wakati huu ni ngumu sana kuikataa
 
Mkuu ishu ngumu aisee. Fifa na UEFA wanasema kwenda mbele watawapiga ban wachezaji wa vilabu vitakavyoshiriki hii ligi mpya. Ina maana wachezaji watakua hawashiriki kombe la Dunia, Euro, Afcon nk lakini pia upo uwezekano klabu zikapigiwa Ban kushiriki ligi za ndani kwa mfano EPL Liverpool itakua haishiriki. Pia serikali nayo itawanyina vibali vya kazi wachezaji wa nje wanaoshiriki hii Ligi. Yaaani ngoma bado ngumu.

Upo sahihi Uefa ya sasa ki mkwaja wapo chini sana ukilinganisha na hawa Super League. Na kwa vile kuna kikao cha Uefa Champions League watatoa statement baadae kuhusu hili.

Hawa ma Pundits wao wanasema hawapo against uboreshaji wa Uefa ama Ligi mpya mbali iwe inclusive kwa timu zote kuleta views, mashabiki nao walete views, serikali, wachezaji nao wasikilizwe nk.

YNWA
 
Hawa ndio founding clubs wa European Super League.

AC Milan
Arsenal FC
Atletico de Madrid
Chelsea FC
FC Barcelona
FC Internazionale Milano
Juventus FC
Liverpool FC
Manchester City
Manchester United,
Real Madrid CF
Tottenham Hotspur.

YNWA
 
Mkuu ishu ngumu aisee. Fifa na UEFA wanasema kwenda mbele watawapiga ban wachezaji wa vilabu vitakavyoshiriki hii ligi mpya. Ina maana wachezaji watakua hawashiriki kombe la Dunia, Euro, Afcon nk lakini pia upo uwezekano klabu zikapigiwa Ban kushiriki ligi za ndani kwa mfano EPL Liverpool itakua haishiriki. Pia serikali nayo itawanyina vibali vya kazi wachezaji wa nje wanaoshiriki hii Ligi. Yaaani ngoma bado ngumu.

Upo sahihi Uefa ya sasa ki mkwaja wapo chini sana ukilinganisha na hawa Super League. Na kwa vile kuna kikao cha Uefa Champions League watatoa statement baadae kuhusu hili.

Hawa ma Pundits wao wanasema hawapo against uboreshaji wa Uefa ama Ligi mpya mbali iwe inclusive kwa timu zote kuleta views, mashabiki nao walete views, serikali, wachezaji nao wasikilizwe nk.

YNWA
Uefa n fifa, n other association zinaweza kuwapiga ban wachezaj na tim wakat huo huo sidhan kama adidas n other sponsor wanaweza dhamini world cup,euro n other league ambazo hazina messi,ronaldo na hizi timu

Ngoja tuone hali itakavyokuwa ila hii ngoma ni ngumu sana
 
Yule mtoto Mmali Bissouma yuko vizuri sana mimi naamini atatufaa sana Liverpool, toka mara ya kwanza kumuona anacheza nilishangaa kwanini team kubwa hawamuoni yule kijana sasa yule angekuwa labda Mwingereza au Mbrazil ungesikia anavyotajwa ila nadhani sababu kutoka Mali kama hawamuoni, ila juzi nimefurahi kumsikia Barnes na Owen wakimtaja na atafaa sana Liverpool, kwa ujumla yuko vizuri katikati.
 
Uefa n fifa, n other association zinaweza kuwapiga ban wachezaj na tim wakat huo huo sidhan kama adidas n other sponsor wanaweza dhamini world cup,euro n other league ambazo hazina messi,ronaldo na hizi timu

Ngoja tuone hali itakavyokuwa ila hii ngoma ni ngumu sana
Wazungu wanadhamini sana tradition zao especially England hivyo haya mambo ya Franchise model of league ni ngumu kumeza.

Klopp pia mwaka juzi 2019 aliwai ulizwa kuhusu huu mpango akisema anaupinga kwani haina msisimko kukutana na Real Madrid kila mwaka mfululizo haisisimui kama ambavyo UCL ilivyo sasa.

Hii ishu imekaa kimtego sana usishangae Klopp akajiuzulu aisee na pengine kutimkia Bayern Munich. Yaaani ndio kumekucha mpaka hii ngoma ikae sawa tutaona mengi.

Fifa na UEFA wanapiga kelele sababu wamekua bypassed na hawa waanzilishi. Yaaani wanakua hawana say yoyote ya muundo nk hata mapato nayo hawana say nayo hivyo hawapo tayari kuona status quo ikiisha hivi hivi bila vita.

Klopp katoa mtazamo wake. Kaaema hategemei hili kutokea. Na kwa mtazamo wake kuzikutanisha club kubwa duniani kila mwaka, kutapunguza ile ladha tuliyoizoea. Anasema kibiashara ni sawa.Of course, it is [financially] important, but why should we create a system where Liverpool faces Real Madrid for 10 straight years? Who wants to see that every year?”
 
Wakati huo huo UEFA wamekuja na mpango mwingine jinsi ya kiendesha ucl kuanzia 2024-25. Nadhani hii ni kuwajibu wale wanaopendelea uefa super league.

UEFA: 36 teams in UCL, a new format to be introduced in 2024/25 season​

15 mins ago / dentjokerbane​

The UEFA Executive Committee today approved a new format for its club competitions as of the 2024/25 season.
CgAGVWB9jvyAIw0iAAFl84LgXJ0655.jpg.webp

The reforms come after an extensive consultation across the football family and received unanimous backing from the ECA Board and the UEFA Club Competitions Committee (made of a majority of club representatives) last Friday.
The changes made are designed to secure the positive future of European football at every level and meet the evolving needs of all its stakeholders. Unequivocally confirming joint commitment to the principle of open competition and sporting merit across the continent, the common purpose has also been to sustain domestic leagues.
Commenting on the new format, UEFA President Aleksander Čeferin, said:
"This new format supports the status and future of the domestic game throughout Europe as well. It retains the principle that domestic performance should be the key to qualification and reconfirms the principles of solidarity right through the game and of open competition.
Aleksander Čeferin at Monday's UEFA Executive Committee meeting

"This evolved format will still keep alive the dream of any team in Europe to participate in the UEFA Champions League thanks to results obtained on the pitch and it will enable long-term viability, prosperity, and growth for everyone in European football, not just a tiny, self-selected cartel.
"Football is a social and cultural treasure, enriched with values, traditions and emotions shared across our continent. As the governing body and responsible stewards of the European game, it is UEFA’s role to safeguard this legacy while leading positive future development of football in Europe for national associations, leagues, clubs, players, and fans at every level. This is why we had an extensive consultation process over the last two years which led to the unanimous backing of our proposal and we are convinced that these reforms achieve those objectives."
Further decisions regarding matters such as the rebalancing of the access list, match dates, seeding system, format for the finals, coefficients and financial distribution will be made by the end of the year and potential adjustments to the format approved today could still be made if necessary.
At the same time, UEFA will also reaffirm its strong financial commitment to the whole of European football and initiate steps to ensure that greater financial solidarity will be delivered to a wider spectrum of clubs who do not participate in UEFA club competitions. This will reinforce the solid foundation on which the game in Europe is built.
UEFA will also open a dialogue with all relevant stakeholders with a view to proposing safeguards and protections for players’ health across competitions at all levels.

Format details​

Taking the total number of teams from 32 to 36 in the UEFA Champions League, the biggest change will see a transformation from the traditional group stage to a single league stage including all participating teams. Every club will now be guaranteed a minimum of 10 league stage games against 10 different opponents (five home games, five away) rather than the previous six matches against three teams, played on a home and away basis.
The top eight sides in the league will qualify automatically for the knockout stage, while the teams finishing in ninth to 24th place will compete in a two-legged play-off to secure their path to the last 16 of the competition.
Similar format changes will also be applied to the UEFA Europa League (8 matches in the league stage) and UEFA Europa Conference League (6 matches in the league stage). Subject to further discussions and agreements, these two competitions may also be expanded to a total of 36 teams each in the league stage.
Qualification for the UEFA Champions League will continue to be open and earned through a team’s performance in domestic competitions.
One of the additional places will go to the club ranked third in the championship of the association in fifth position in the UEFA national association ranking. Another will be awarded to a domestic champion by extending from four to five the number of clubs qualifying via the so-called “Champions Path”.
The final two places will go to the clubs with the highest club coefficient over the last five years that have not qualified for the Champions League group stage but have qualified either for the Champions League qualification phase, the Europa League or the Europa Conference League.
All games before the final will still be played midweek, recognising the importance of the domestic calendar of games across
 
Quantity over quality

Wangetafuta namna ya kuimprove na sikuongeza timu
 
Duniani kuna vingi vipo chini ya kapeti, bahati mbaya sana watu wanauchukulia poa sana mpira, ila mpira haujawahi kuwa poa kama tunavyodhani hata siku moja

Zamani pesa ilikuwa kila kitu, lakini sasa licha ya kuwa pesa ni kila kitu lakini Ufalme wako utatambulikaje? Ikaja kuonekana mpira wa miguu ni sehemu sahihi sana kuwekeza

China walikuwa na plan yao CHINESE 2050, wakipiga hesabu kuwa watalitawala soka la dunia wafikapo mwaka huo na ikapitishwa wakati huo Rais ni Hu Jintao wakaamini zaidi kwenye kuibrand ligi yao na kupeleka wachezaji wakubwa, WAKAFELI

China akabadili plan yake akagundua ni ngumu Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Mastaa wakubwa Kwenda kucheza China, nje ya pesa hawa Mastaa wengi wanapenda kulinda heshma zao, wengi wao wakitaka kumalizia soka Marekani

Mchina akagundua ni hatari kwa project yake, akaona kuna nafasi ya kwenda kuwekeza kwenye soka la Ulaya na kueneza agenda yangu kuelekea Utawala wa soka la dunia, Inter Milan yenye historia kubwa ipo chini ya Mchina ambaye sasa anataka kuachana nayo

Michakato ilianza taratibu, China akatumia upenyo mdogo, kuwa mdororo wa kiuchumi duniani utasababisha klabu nyingi zikwame, zitakopa sana na mwisho madeni kuwa makubwa zaidi na hapo ndio tiketi ya kumiliki klabu nyingi na lingetimia

Lakini Taifa pinzani ambaye ni Marekani ameshitukia, ndio maana klabu kubwa zote zikakusanyana, zikapitisha ligi yao na Mfadhili ni Benki ya Marekani JP MORGAN, hii ni kuokoa maslahi binafsi ya Marekani kuelekea kiti cha SUPER POWER OF THE WORLD

Hata FIFA leo hii wataongea sana ila nyote mnakumbuka Gianni Infantino aliingiaje madarakani na Wamarekani walifanya kazi kubwa kiasi gani kumuangusha Sepp Blatter na Michel Platin

Na hii ndio dunia usiyoijua huenda, huu ndio mpira
 
Klopp katoa mtazamo wake. Kaaema hategemei hili kutokea. Na kwa mtazamo wake kuzikutanisha club kubwa duniani kila mwaka, kutapunguza ile ladha tuliyoizoea. Anasema kibiashara ni sawa.Of course, it is [financially] important, but why should we create a system where Liverpool faces Real Madrid for 10 straight years? Who wants to see that every year?”
Muda utasema ndugu ngoja tusubiri.

Vitisho ni vingi sana sasa ni muda wa kila timu na wachezaji, mashabiki, washirika wa baishara nk kuchagua wapi wacheze aisee.

YNWA
 
Wazungu wanadhamini sana tradition zao especially England hivyo haya mambo ya Franchise model of league ni ngumu kumeza.

Klopp pia mwaka juzi 2019 aliwai ulizwa kuhusu huu mpango akisema anaupinga kwani haina msisimko kukutana na Real Madrid kila mwaka mfululizo haisisimui kama ambavyo UCL ilivyo sasa.

Hii ishu imekaa kimtego sana usishangae Klopp akajiuzulu aisee na pengine kutimkia Bayern Munich. Yaaani ndio kumekucha mpaka hii ngoma ikae sawa tutaona mengi.

Fifa na UEFA wanapiga kelele sababu wamekua bypassed na hawa waanzilishi. Yaaani wanakua hawana say yoyote ya muundo nk hata mapato nayo hawana say nayo hivyo hawapo tayari kuona status quo ikiisha hivi hivi bila vita.

YNWA
Naona uk gvt nayo inaingilia kati inawatishia kuwafungia kufanya any foreign transfer na ongezeko la tax
 
Hahaha its man eat man society ndugu.

Survival of the fittest elimination of the weakest.

Hawa JP wanataka kuleta mambo yao ya uwezekazaji wa Ki America zaidi na washachungulia wameona ela ipo ya kutosha kwenye soka ndio maana hata timing yao imelenga kipindi hiki klabu zipo hoi kipesa yaaani hakuna mwenye timu atakataa huu mkwaja aisee.

Ishafahamika hii kazi kubwa kufanikisha hili imefanywa na Ed Woodward wa Manchester United.

Ngoja wapambane wenyewe sie ki bongo bongo yetu macho. Ila to be honest naipenda UCL ilivyo sasa kama shabiki kama ni maboresho ifanyiwe hio hio na sio break way kwa kua na monopoly na Ligi Mpya.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom