The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,503
Especially Milner aliwabana vizuri Modric & Kroos, alipotoka Milner na kroos akapumzishwa.Mkuu mbona kama defence na MF walicheza vyema huku front 3 wakiwa hovyo kabisa. Gemu ya mtoano huhitaji kupata nafasi nyingi mbali ni zile chache unazopata ufunge na sio kingine. Na jana vijana wetu waliacha shooting boots nyumbani.
Pamoja na yote kipa wa R. Madrid alistahili MOTM jana maana alikua mahala sahihi wakati sahihi.
Washambuliaji nafasi walipata nafasi murwa sana lakini waliishia kujishika kichwani. Pathetic.
YNWA
Credit to Madrid they were everywhere in the box to defend deep.

