Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,448
- 32,877
Mkuu mbona kama defence na MF walicheza vyema huku front 3 wakiwa hovyo kabisa. Gemu ya mtoano huhitaji kupata nafasi nyingi mbali ni zile chache unazopata ufunge na sio kingine. Na jana vijana wetu waliacha shooting boots nyumbani.MILNER - FABINHO - GINI wote ni Wakabaji na ndiyo Viungo wanaotakiwa kuwachezesha Mane, Ni na Salah 😂😂😂
Pamoja na yote kipa wa R. Madrid alistahili MOTM jana maana alikua mahala sahihi wakati sahihi.
Washambuliaji nafasi walipata nafasi murwa sana lakini waliishia kujishika kichwani. Pathetic.
YNWA