ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 8,251
- 14,791
Dkk ya 28.duuuh.mkeka wangu!Keita na Trent kule kulia kumepwaya mno.
Huyu Keita binafsi sikutegemea kumuona uwanjani.
YNWA
Pole ndugu. Klopp sielewi hawa Real aliwachululia aje kutuwekea Gini na Keita uwanjani wakati hawana mbio especially Keita.Dkk ya 28.duuuh.mkeka wangu!
Hakuna timu hapo timu ya maana haiwezi kosa hata off target 1 kwa dakika hiziDk ya 37, Real Madrid 2-0
Liverpool hawana hata off target
This season is null and void result wise.Tupo tupo tunafuatilia mtanange kwa karibu regardless the result
Hamjapiga shuti bado dakika ya 43