Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mimi namshukuru Mungu kwa upande wangu hakuna jipya ninaloliona kwa sasa kwani Nimeshashuhudia wakati mbaya zaidi kwa Liverpool kuliko huu uliopo sasa.

Hali hii just ni ukumbusho tu kuwa tuwe tayari muda wowote kwa lolote kwani tunaweza kurudi tulikotoka.
 
Oyah kuku maji munaendeleaje humu?
Naona mpaka nafasi ya 4 munaitafuta na touch
 
Mimi namshukuru Mungu kwa upande wangu hakuna jipya ninaloliona kwa sasa kwani Nimeshashuhudia wakati mbaya zaidi kwa Liverpool kuliko huu uliopo sasa.

Hali hii just ni ukumbusho tu kuwa tuwe tayari muda wowote kwa lolote kwani tunaweza kurudi tulikotoka.
Sio murudi ndio mushafika hapo.

Ile livakuku ya kina john rise ndio hii, hapo ubingwa mpaka mimi naota mvi.
 
Adjustments.jpg
 
Nyie Liverpool naomba tu mkutane na porto ,ili final tukutane ,tuwanyooshe tena ....tuwaoneshe kuwa hatukubahatisha kuwapiga zile goli NNE

HAutafika tena fainali ,ukifanikiwa kumtoa Dortmund unakutana Na psg vs Bayern. Biashara yako itaishia hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom