Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,186
- 3,418
Liverpool wanashinda hii game. Jota anatupia moja na Salah moja.
LIVERPOOL TEAM NEWS
Team to play Wolves:
Alisson, Alexander-Arnold, Phillips, Kabak, Robertson, Wijnaldum, Fabinho, Thiago, Mane, Jota, Salah.
Subs: Adrian, Milner, Keita, Oxlade-Chamberlain, Jones, Tsimikas, Shaqiri, R Williams, N Williams.
Come on Reds make us happy.
YNWA
tusubiri la salahLiverpool wanashinda hii game. Jota anatupia moja na Salah moja.
Kwanini mkuu?Kuna Watu ndiyo wameisusia hii Timu?
Definitely Molineux Stadium is one our best hunting ground we rarely walk away empty handed and jana was no exception🔥🔥🔥....Its surely A lineup for three points
All the best but i do not concur with only one pick (Gini)
HamnaKuna Watu ndiyo wameisusia hii Timu?
nyie halisi ndio tatizoAu wanasubiri tuanze kushinda kila game waje watuite sisi kuwa ni Fake?




Hakuna sub inanikera kama hiyo,tatizo hatuna defensive mid mwingine ubaoni zaidi ya huyo babuWakuu bado nauliza kumuingiza Milner nafasi ya Cantara inafanana kweli?
Wakuu bado nauliza kumuingiza Milner nafasi ya Cantara inafanana kweli?
Hahaha angalia wewe kuwa makini na unachokitamani.Namtaman chelsea ila naona kama tutakutana na Real Madrid



Nyie Liverpool naomba tu mkutane na porto ,ili final tukutane ,tuwanyooshe tena ....tuwaoneshe kuwa hatukubahatisha kuwapiga zile goli NNE
Nyie Liverpool naomba tu mkutane na porto ,ili final tukutane ,tuwanyooshe tena ....tuwaoneshe kuwa hatukubahatisha kuwapiga zile goli NNE