Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Uefa hawaja wahi kututoa kama sijakosea.hiyo sio Epl.
wamewahi kututoa mkuu, nafikiri wametutoa mara 2!

kuna game walitupiga anfield (3-0 kama sijakosea), darajani 1st half tuliongoza 2-0 then 2nd half mambo yakabadilika game ikaisha 4-4

.then kuna mwaka tulitolewa nakumbuka John Riise alijifunga (mpira ulimgonga reina akapotea,,.....) nakumbuka sana Riise alivyolia mwishon mwa game, socre 1-1
 
Sawa mkuu
 
ila game zetu na chelsea CL huwa ngumu sana aisee, bora watolewe na Porto
Naomba uongeze sauti uwaamhie ndugu zako humu ndani.

Naona hawana kumbukumbu kabisa ya kile kilichowapata 2007/2008 quarter final na 2008/2009 nusu fainali.
 
Miaka ya 2008 na 2009 blues walitublock sana, nakumbuka Kuna ile game Ivanovich ndo mgenimgeni akatuweka mbili pekeyake
Naona wewe una kumbukumbu nzuri. Kuna mwezako nmeona anasema hakumbuki kama amewahi tolewa na chelsea kwenye UEFA.
 
Historia inahitaji kujirudia hapa, ngoja tungoje uenda muda ukawa mwalimu mzuri sana
Mara ya mwisho chelsea kuchukua UEFA.

1. Walitimua kocha katikati ya msimu sababu timu ilikuwa inafanya vibaya. (Hili limetimia)

2. Walicheza robo finali na bingwa wa Ureno. (Hili pia limetimia sasa)

3. Walicheza Nusu fainali na timu ya Spain. (Linakwenda kutimia Madrid anawapiga).

4. Walicheza fainali na Bayern. (Bayern atatinga fainali)

5. Walikuwa underdog na walizichomoa timu zilizoonekana na uwezo.

6. Walikuwa bado wapo kwenye FA.
 
Naona wewe una kumbukumbu nzuri. Kuna mwezako nmeona anasema hakumbuki kama amewahi tolewa na chelsea kwenye UEFA.
We differ in ages, but we the same flock. The brother needs to be informed n that's a task we can manage.
Cheers mate!
 
Mara ya mwisho chelsea kuchukua UEFA.

1. Walitimua kocha katikati ya msimu sababu timu ilikuwa inafanya vibaya. (Hili limetimia)

2. Walicheza robo finali na bingwa wa Ureno. (Hili pia limetimia sasa)
Tuanzie hapo, Porto nao wana record yao ya kutimiza
Walibeba UCL ya kwanza 1987, ya pili 2004
ukicheki hapo ni baada ya miaka 17, leo miaka 17 imepita tangu wabebe ya mwisho wakiwa na Mou
Nao wanasema 'historia itajirudua'
Wacha tuone maake naona kila mtu ana record zake 😂😂
Ila nikishauri tu kama kuna mkeka wa nani atabeba weka LFC, utakuja kunishukuru
 
Tuanzie hapo, Porto nao wana record yao ya kutimiza
Walibeba UCL ya kwanza 1987, ya pili 2004
ukicheki hapo ni baada ya miaka 17, leo miaka 17 imepita tangu wabebe ya mwisho wakiwa na Mou
Nao wanasema 'historia itajirudua'
Wacha tuone maake naona kila mtu ana record zake
Ila nikishauri tu kama kuna mkeka wa nani atabeba weka LFC, utakuja kunishukuru
Tunaangalia na form ya timu pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom