King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Halisi yupo wapi siku hizi",.?
Anasubiri Apone Hendo halafu tuje tushinde game atakayocheza ili aje aandike 'In Klopp we Trust' utadhani Hendo alipokuwa nje hatujawahi kushinda.
Halisi yupo wapi siku hizi",.?
Kaze hana timu sahizi kwa usifanyike mpango ili achukue nafasi ya Klopp?KLOPP n Cedric kaze mchangamfu
FSG wapo nyuma ya Klopp wanajua vyema ndio wamemwangusha sokoni kwa sapoti finyu na timing mbaya za kununua wachezaji.Klopp ni moja wa makocha wanapenda kua unpredictable. Angalia mechi nyingi baada ya ujio wa kabak na devies wengi tuliamini watachezeshwa hao then faby na hendo watolewi huko nyuma mambo yakabaki hvyo hvyo. aliyorudi faby kutoka injury tulitarajia atacheza kabak na philips then faby aende mid ila ikawa kinyume hii ilizungumzwa na media nyingi, akaona isiwe tabu mkiwazacho sio changu.
Haitakua surprise next match faby akapigishwa mkoba na kabak.
Tazama sub zake",. Ni unpredictable pia mnatarajia atoke mmoja wa front three hana mchezo wa maana anaachwa, anatolewa Jones anaingia milner.
Klopp ni moja wa makocha viburi kweli kweli faida yake ni akiwa kwenye peak mtampenda ila akivurunda kama sasa ndio mtamchukia kwa kiwango kikubwa hua anatoa karaha sana.
Ila kwa mimi nitakua nyuma ya Captain Marvelous kwa KLOPP-OUT
Acha uduanzi nduguKila niingiapo kwenye huu Uzi najikuta nalia. Jamani timu siyo kabila!
Kuna habari gani hapa Kopps?
Skipper bado hajapona kuleta leadership kwenye Timu ndiyomana tunafungwa.





Kwahiyo ndo msimu hatupati huduma yake tena?
Hilo lipo wazi pale mbele inabidi kuleta damu changa mpya japo tunahusishwa na Halland naona ngumu maana bei yake ni £110m...Liverpool will target at least one new attacker in the summer, regardless of how this season ends for them. #awlfc [@neiljonesgoal]
HAPA
REGARDLESS OF HOW THIS SEASON ENDS FOR THEM.
Kuna kajambo hukp kwenye usajili.