Kipindi mnapigwa na liver mlikuwa mnaongea hayahaya kabla ya mechiHamna uwezo wa kufunga Chelsea sasa hivi
Klopp hakuwai kutegemea haya anayaona sasa hivyo usishangae kabisa ndugu...Hivii kwa nini Milna anapangwa badala ya vijana tutakao wategemea.
Na ni kwanini alikua hamuamini Phlps?.
Mbona kama huyu kocha hajiamini na mbinu zake mpaka kukariri watu walewale?
Kumfunga Fulham wala hakuhitaji wold clas
Liver akiwa UCL anakuwa tofauti hata city ya pep inakalishwaMsikutane na timu za england robo final
Ombeni Sana!!
HahaaaaaLiver akiwa UCL anakuwa tofauti hata city ya pep inakalishwa
Huna hata uhakika Wa kumfunga wolves jumatatu .....!Liver akiwa UCL anakuwa tofauti hata city ya pep inakalishwa
Nazungumzia UCL mkuu, liver ndio mbabe wa ucl pale England, hivi mwenendo wa liver kwenye epl ulitegemea iwatoe wale wajerumani?Huna hata uhakika Wa kumfunga wolves jumatatu .....!
Leipzig wachovu ,man utd alijipigia goli 5Nazungumzia UCL mkuu, liver ndio mbabe wa ucl pale England, hivi mwenendo wa liver kwenye epl ulitegemea iwatoe wale wajerumani?
Halafu huyo man akaishia futuhi, ndio ni futuhiLeipzig wachovu ,man utd alijipigia goli 5
Hivii kwa nini Milna anapangwa badala ya vijana tutakao wategemea.
Na ni kwanini alikua hamuamini Phlps?.
Mbona kama huyu kocha hajiamini na mbinu zake mpaka kukariri watu walewale?
Kumfunga Fulham wala hakuhitaji wold clas
Anatia shaka kiukweli na usikute keshatibuana na Lijnder naona kama uchangamfu umepungu kiainaUnataka arudi tena kwenye Vyombo vya habari kujisafisha kwanini alimtoa Milner uwanjani?
hahaaaaaaaaaTaratibu Mchele na Chuya vinaanza kujitenga! Tutabakia walewale tuliokuwa na Striker David Ngog na Voronin, wale waliokuwa wakileta tafrani hapa kwa kuwaona kina Salah na Mane wanatupia wakadhani hatukutokea kwenye Mateso naona wameshaanza kupotea! Hii ndiyo Liverpool jamani.
Sadly ni kwamba uzi amesutiwa Captain Marvelous pekee.
Naona wale mamluki wengi walioibukia juzi juzi na kufanya kuwa na fan base kubwa washaanza kupotea ..nakumbuka msimu fulani hapa 13/14 hakukuwa na utitiri mkubwa hivi.Taratibu Mchele na Chuya vinaanza kujitenga! Tutabakia walewale tuliokuwa na Striker David Ngog na Voronin, wale waliokuwa wakileta tafrani hapa kwa kuwaona kina Salah na Mane wanatupia wakadhani hatukutokea kwenye Mateso naona wameshaanza kupotea! Hii ndiyo Liverpool jamani.
Sadly ni kwamba uzi amesutiwa Captain Marvelous pekee.
Klopp ni moja wa makocha wanapenda kua unpredictable. Angalia mechi nyingi baada ya ujio wa kabak na devies wengi tuliamini watachezeshwa hao then faby na hendo watolewi huko nyuma mambo yakabaki hvyo hvyo. aliyorudi faby kutoka injury tulitarajia atacheza kabak na philips then faby aende mid ila ikawa kinyume hii ilizungumzwa na media nyingi, akaona isiwe tabu mkiwazacho sio changu.Hivii kwa nini Milna anapangwa badala ya vijana tutakao wategemea.
Na ni kwanini alikua hamuamini Phlps?.
Mbona kama huyu kocha hajiamini na mbinu zake mpaka kukariri watu walewale?
Kumfunga Fulham wala hakuhitaji wold clas
Halisi yupo wapi siku hizi",.?Taratibu Mchele na Chuya vinaanza kujitenga! Tutabakia walewale tuliokuwa na Striker David Ngog na Voronin, wale waliokuwa wakileta tafrani hapa kwa kuwaona kina Salah na Mane wanatupia wakadhani hatukutokea kwenye Mateso naona wameshaanza kupotea! Hii ndiyo Liverpool jamani.
Sadly ni kwamba uzi amesutiwa Captain Marvelous pekee.