Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kitu pekee ambacho sitoona haya kukihoji ni Uwezo wa Klopp kwa sasa! Hakuna cha kuficha jamaa ameishiwa mbinu na hajui afanye nini.
100% Kuna wengine humu watakupinga kwa hili,Lakini muda utaamua tutakuja kuongea lugha moja tu SOON.
 
Kitu pekee ambacho sitoona haya kukihoji ni Uwezo wa Klopp kwa sasa! Hakuna cha kuficha jamaa ameishiwa mbinu na hajui afanye nini.
Mlitaka afanye nini na average squad?

Mmeshacompete misimu mitatu with the same core bila kufanya reinforcements za maana , what did you expect ? Miracles ..!
 
Klopp anabebwa na benchi lake la ufundi kiukweli

Na nikiri wazi hili benchi la ufundi lililopo ndio benchi bora kuwahi kuwepo LFC kwa modern football
nina maoni tofauti.......


kwangu la benitez lilikua bora sana, sana ila aliangushwa na matajiri kwa kiasi kikubwa!


some people will rate JK, but i think RB was the best all round,.......
 
Hapa hakuna liverpool halisi sijui tushikamane sijui pumba gani ungese mtupu
Mabadiliko ni muhimu sana masuala hoo Klop anajua soccer management yako wapi
Tunapokosoa timu sio kwamba tunaichukia tunaipenda mno na Sisi tukifungwa fans ndio tunaumia
 
Still can't score , Still can't Defend......Watakuja watu watakwambia hili ni tatizo la FSG.
mkuu kudefend tuna defend vizuri kwa mtazamo wangu (maana tumefungwa moja), vipi foward zetu!


btw hii game hata sijaangalia
 
Mkuu naomba umtoe Thiago, huyu kaja this Sept wakat tatizo letu lilianzia kipindi kama hiki last season!


baada ya kutolewa na Atletico CL ndipo tatizo letu likazaliwa, tukambebesha zigo la lawama Adrian humu ndani na groups zote za Kops.....


haya baada ya Covid ligi ilivyorudi tukaanza mwendo wetu wa ajabu ajabu mpk leo hatujapata tiba!
 
Na tunabahat tilivuna point mapema vinginevyo tungekuwa tunapambana kijinasua daraja

Liverpool Leo limekuwa daraja la kuzinusuru timu zisishuke daraja jamaa anavunja rekod ina negative way

Dortmund walimtimua kwa mambo Kama haya FSG WAVUNJE MKATABA tutafute kocha mwingine si vibaya kuanza upya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom