ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,635
Klopp out!!We can blame FSG as much as we can but tukirudi nyuma ni Klopp mwenyewe ndiye aliyewaaminisha kuwa he can turn things around without spending big that's why FSG hawakuwa na mpango wa kusajili Top Players, Now everything has fallen apart tunaanza kulialia na VVD na JOTA.
So, kwa hili Klopp hakwepi lawama kwa kuwalisha ujinga FSG na kutusababishia anguko kubwa kama hili. Ujinga huu haukuwakumba FSG tu hata Washabiki uliwakumba kwa kuamini Salah, Mane, Firmino, Hendo, Gini na Milner kuwa watacheza Liverpool maisha wakiwa na ubora uleule mpaka kujidanganya kuwa tusisajili Forward wala Midfielder ili tusiwasumbue waliopo na wakaamini kuwa eti hakuna Mchezaji yoyote Mkubwa atakayekuja Liverpool kwa kuwaogopa Salah, Mane na Firmino huku wakisahau kuwa kuna Wachezaji walienda Real Madrid ikiwa na Ronaldo, Benzema na Bale na wengine walienda Barcelona yenye Messi na Etoo.
