Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Na ndio maana aliongeza mkataba ili alipate na sioni akilipata labda timu kubwa zipoteana..Hakuna kitu kina mnyima raha bwana Pep kama kulikosa kombe la Champions League
YNWA
Na ndio maana aliongeza mkataba ili alipate na sioni akilipata labda timu kubwa zipoteana..Hakuna kitu kina mnyima raha bwana Pep kama kulikosa kombe la Champions League
Nyie inatakiwa tukutane uefa nusu final huko ,ili tuwabangue vizur ..!
Bwana weee mm mwnyew hapa bado sielewi nawaza title tu.. mambo ya top four yatakuja tukisa titleWee jamaa unakata tamaa mapema bana.
Siwezi sahau March 2012 Manure alikuwa mbele ya ManCity kwa 7 points with a game in hand lakini bado ManCity alikuja kum pip for the title.
Aisee mimi nipo nipo tu bado kwenye title race - huning'oi kirahisi hivyo aisee! 😀 😀
Vijana kwa sasa wanapambania nini mkuu?Wana Liverpool tuendelee kuwa nyuma ya team,pamoja na majeruhi makubwa vijana bado wanapambana.
Sasa kama wewe uliwapiga hawa kuku ..mimi ndo ntashindwa?Wanakupiga wale hata kocha akipanga mfumo wa mabek tu
Hakuna kitu kina mnyima raha bwana Pep kama kulikosa kombe la Champions League
Mkuu uefa bado, ndio tunaifukuzia saizi kutua etihadHakuna kitu kina mnyima raha bwana Pep kama kulikosa kombe la Champions League
UEFA hii ambayo Olympices Lyon tu anakutoa nishai au kuna UEFA nyingine unayoisema Mkuu.Mkuu uefa bado, ndio tunaifukuzia saizi kutua etihad
Wewe atletico alikufanyeje ,sikakutungua goli za kutosha hapo anfield 16 bora ukawa umefunga vilago au unasemaje mkuuUEFA hii ambayo Olympices Lyon tu anakutoa nishai au kuna UEFA nyingine unayoisema Mkuu.
Aston villa ana Champions 1 Manchester city anazo ngapi........Kama Pep ni Mwanaume kweli Akaipe Manchester city UEFA CHAMPIONS LEAGUE kwanza tuone jeuri yake.Wewe atletico alikufanyeje ,sikakutungua goli za kutosha hapo anfield 16 bora ukawa umefunga vilago au unasemaje mkuu
Kuna wale wazee wa liverpool halisi tuendelee kushikamanaWazee wa Do not disturb our front 3 naona ndiyo wa kwanza kuukimbia Uzi baada ya kuona Timu inaboronga



