Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aston villa ana Champions 1 Manchester city anazo ngapi........Kama Pep ni Mwanaume kweli Akaipe Manchester city UEFA CHAMPIONS LEAGUE kwanza tuone jeuri yake.
Kubishana na timu kama Liverpool ni matumizi mabaya ya akil ,mid table timu ...

Level zangu ni buyern huko ..

Timu hata top four haiwezi kumaliza ,..
 
Timu hata Fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE haijawahi kucheza unajifananisha na Bayern kweli wewe ni Mzima kichwani Acha punyeto Mkuu inakupeleka pabaya.
 
Timu ipo nafasi ya 6 ,unapata wapi ujasili Wa kubishana na wanaume tunaongoza league ...

Huna uhakika na top four ,kabishane na Southampton, wolves ndio level zako kwa sasa ...
 
NONSENSE.......Endelea kujichua tu ndio unachokiweza.
 
Wewe unayeshiriki UEFA kila Mwaka unasindikiza tu wengine auna tofauti na Arse8 ya Babu Wenger
Timu ipo nafasi ya 6 ,unapata wapi ujasili Wa kubishana na wanaume tunaongoza league ...

Huna uhakika na top four ,kabishane na Southampton, wolves ndio level zako kwa sasa ...
 
Natamani niwaambie leo nawakula kavu ila nna mashaka mnaweza kuja gheto mmevaa suruali hvy nikapata tabu kuwavua
 
Come on Red Team send Ollachuga Oc to sleep now now tena akalale na viatu...

The race for Top is getting ugly.

We are either in by winning or out by losing.

YNWA
 
Timeshagongwa tayari! Timu zangu leo zote zinaniangusha sitaki tena!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom