Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamie Carragher has insisted Liverpool must sign three players capable of coming into their first-choice XI in the summer transfer window.

He believes the club need to sign a centre-back, a replacement for Gini Wijnaldum and an attacker capable of dislodging the current front three.

NAKUBALIANA NAYE CARRAGHER

Tunaposema tufanye usajili wa kuboresha baadhi ya Maeneo muhimu tunaambiwa Klopp anajua zaidi kuliko sisi. Sisi hatujui chochote.

But sasa amekuja huyu Carragher anayejua mpira kwa kuucheza na si kuuona kwenye TV. One of our greates Legend aliyeipigania Timu na kusimama imara kwenye CL final yetu dhidi ya AC Milan dhidi ya Magwiji kina Pirlo na Shevchenko mpaka akadeliver gold medal, anapita mulemule tunamopita sisi kwamba Timu yetu inahitaji Wachezaji 3 muhimu wa kuanza kikosi cha kwanza na si back-up.

Amewataja kuwa ni:-

1) Centre Back
2) Centre Forward
3) Replacement ya GINI (Mido)

Sasa hapo ameongea Carragher, lakini tunapoongea sisi anatokea Kenge mmoja kutoka kwenye Vichuguu vya Milima ya Machame anaharisha hapa eti Klopp anajua zaidi.

Pumbav
 
Mkuu Unamtukana kiongozi wako wa LIVERPOOL HALISI eeh?
 
I'll keep Milner. He's a machine on his day.
I'll sell the rest. In fact, I'll drive Keita myself to a willing suitor for free!
Milner is finished we play high intensity football and he dont have those legs anymore.. Huyu anachelewesha sana mashambulizi na pia ku win second balls which is our main aspect...

We need kuwatoa hawa high earners Keita na Milner kwenye payroll wapishe damu changa...

He is no more and those days you say to me he is finished article yaani moyo unataka lakin mwili unakataaa...

YNWA
 
Mathematically we are contenders for Top 4 and it will take a bit of huge luck for us Cityzen ku drop points 10 ndugu...

Lets be realistic ndugu..

YNWA
Wee jamaa unakata tamaa mapema bana.

Siwezi sahau March 2012 Manure alikuwa mbele ya ManCity kwa 7 points with a game in hand lakini bado ManCity alikuja kum pip for the title.

Aisee mimi nipo nipo tu bado kwenye title race - huning'oi kirahisi hivyo aisee! 😀 😀
 
Milner is finished we play high intensity football and he dont have those legs anymore.. Huyu anachelewesha sana mashambulizi na pia ku win second balls which is our main aspect...

We need kuwatoa hawa high earners Keita na Milner kwenye payroll wapishe damu changa...

He is no more and those days you say to me he is finished article yaani moyo unataka lakin mwili unakataaa...

YNWA
You are right, but he has got his days (not many, but he has got a bit of those).

But kuhusu kuchelewesha moves za mashambulizi hii naona hata Thiago is even worse.
Ku slow down tempo naona ni kaugonjwa kameikumba timu nzima kwa sasa - which is understandable considering a 3-consecutive seasons full-throttle footie.
 
Tokea juzi nanfuatilia Carragher nimegundua kuwa kuna kitu anataka kusema lakini anajaribu kuwa mpole
Uliona ile anasema Klopp has to some very tough explanation to answer whats is transpiring on the field point wise..

Actually alisema for the 1st time in his career as Liverpool Manager he is in hot soup maana anasema question will be asked and answers are needed..

Ukute yale anaosema MosDef ni kweli mtoto pendwa wa Halisi walitwangana na my boy Alisson na Fabby hataki kucheza CB tena haha unless partner wake sio lile BAM...

All in all vs Leicester to see response ya ushindi otherwise Roy Keane atakua sahihi we are damn bad Champions haha..

YNWA
 
Wee jamaa unakata tamaa mapema bana.

Siwezi sahau March 2012 Manure alikuwa mbele ya ManCity kwa 7 points with a game in hand lakini bado ManCity alikuja kum pip for the title.

Aisee mimi nipo nipo tu bado kwenye title race - huning'oi kirahisi hivyo aisee! 😀 😀
Hahahaha upo sahihi ndugu...

Nimesema all is possible but for that to happen we need a bit of luck ndugu..

We need luck Manchester City apigike gemu 3..

We need super luck Liverpool washide gemu 3 mfululizo and mark you we are fourth now meaning before we think of Manchester City we have to dethrone Leicester na Stretford boys in 3rd and 2nd so then we can aim for Manchester City who as we speak have a game in hand haha..

Sija give up kaka ila kwa form tulionao na wachezaji ni kama vile unavyoona naona nikumbali hali ya sasa...

You are weak! 😀 😀
 
You are right, but he has got his days (not many, but he has got a bit of those).

But kuhusu kuchelewesha moves za mashambulizi hii naona hata Thiago is even worse.
Ku slow down tempo naona ni kaugonjwa kameikumba timu nzima kwa sasa - which is understandable considering a 3-consecutive seasons full-throttle footie.
In that essence bro why not take risk with new blood Jones he has shown he has the guts and the will to compete in this league...

This boys need game time just like Foden, Rashford, Grealish, Maddson, TAA, Mason, Sakah nk its only through Jones will become better and he must be gutted seeing a 36 to be getting minutes above him haha.. Good he has performed better when he has got the minutes..

Hilo la Thiago have read different pundits are concerned perhaps his style of play dont suit us as we are more kind of direct playing team in the final 3rd in fact some are going far kusema he is making us slow and giving the opposition chance to reshape thier defence when we are attacking..

Our front boys mojo is gone.. Salah is the main threat but his selfishness at times is irritating the rest.. Firmino haa dropped big time and he used to be main threat to make others click pale mbele..

Leeds waje kumnasa tu Milner.

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
Wee jamaa unakata tamaa mapema bana.

Siwezi sahau March 2012 Manure alikuwa mbele ya ManCity kwa 7 points with a game in hand lakini bado ManCity alikuja kum pip for the title.

Aisee mimi nipo nipo tu bado kwenye title race - huning'oi kirahisi hivyo aisee! 😀 😀
Mkuu ,
Inawezakana yale mafuta ya Mchungaji Mwamposa na wewe uliyakanyaga nini??? Sio kwa imani hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom