Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Premier League assists since the start of 2018:

🔵 Ederson
2 assists
110 games played

🔴 Gini Wijnaldum
1 assist
111 games played

Huyu ndiyo Mido anayetaka Mkataba mnono

Yani hakuna haja ya kusubiri summer ilikuwa hii Jan aruhusiwe kuondoka tu.
 
Huyu Kariuson asipojiangalia ataishia kukaa Bench hata hiyo Timu ya Taifa kwani Media zimeshaanza kumuattack na kumpa Promo Ederson.

 
Hadi Allison Becker mnamzingua,naona mmeanza kuchanganyikiwa sasa.
Tatizo ni klopp
 
Tatizo la Liverpool kubwa sio KIpa, pale nyuma imekosa leadership na uzoefu. Mmewaweka academy mnategemea pawe salama
 
Chelsea, Everton, Spurs, Aston Villa na Westham wakipata matokeo mazuri Liverpool inahamia kwenye Mid-Table
Spurs kashatibua, wamebaki Chelsea, Everton, Aston Villa na Westham
 
BUNDI HUYU MUMTOE ANFIELD ASIJE AKAMSHUSHA BINGWA MTETEZI DARAJA, EBO AU MNAFANYA UTANI
 
Sure ile game ya liver vs city ni ubovu tu wa liver na sio kwamba city walikuwa on another level

Ngoja tuone City leo vs Spurs..
Mpaka kipa kapata asisist haijawahi kutokea
 
Nyie Liverpool acheni kulaumu tu kuhusu mabeki, timu yenu saizi wote cofindence imeshuka, mnalaumu mabeki wakati hata forward zenu hazifungi magoli, mnatengeneza chance lakini hamzitumii vzr. Timu nzima saizi imepitiwa na upepo mbaya. Mgekua mnafunga magoli afu safu ya ulinzi inaruhusi magoli mgekua mnalaumu mabeki, saizi forward hazifungi na beki zinaruhusu magoli
 
Huwa anazunguka uwanjani kama mshare wa saa.
 
Mkuu mimi nimekuja kistaarabu kabisa hapa najua munayopitia kwa sasa ..Klopp juzi kafiwa na mama'ke hivyo bado msiba unamchanganya akitulia timu itakaa sawa tu ..nyie kwa sasa siyo title contender tena na ninasikitika kuwatangaza rasmi kuwa ni takataka tu kama takataka zingine..

Kwa sasa muhakikishe munaweka nguvu zenu zote kuhakikisha Man city au Sisi Chelsea tunakuwa mabingwa.
La siivyo mukiruhusu yale manyumbu yakabeba ubingwa, basi nyie mutakuwa hamuna maana tena ya bingwa mtetezi.

Hivyo kwa sasa ondoeni matumaini ya ubingwa na top four ..hakikisheni hata munafika nafasi ya saba hivi au nane.

Ni hayo tu.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…