Spurs nao wako kwenye form mbovu.Sure ile game ya liver vs city ni ubovu tu wa liver na sio kwamba city walikuwa on another level
Ngoja tuone City leo vs Spurs..
Tumepigwa pale kuna watu humu walikua wanamsifia kinomaaa na kuponda waliopo ambao wanalingana viwangoIvi kwann Chamberlain huwa akicheza Aidha akiingia kipindi cha kwanza au pili lazima Liverpool afungwe?
Hii kitu nimenoti hata kipindi yupo Arsenal jamaa akianza tu Arsenal isipofungwa basi hutoa draw.
Kipindi anatoka Arsenal kwenda Liverpool nilishukuru sana baada ya kuikacha Chelsea![]()
Sio mbaya kupanda na kushuka kupo, hata Trump amekosa uraisi kwa muhula wa pili.Kutesa kwa zamu...
Bwana wee hatukuzoea haya lakini sasa kwa kasi hii hatuna namna sasa ni rasmi tunapambana kucheza Europa msimu ujao kihesabu..
YNWA
RidiculousMwaka huu mnashindwa kujua mchawi nani kwenye timu. Kipa anavuja kama tenga,beki zinapitika kama chujio la chai,kiungo kigumu na hakina ubora wowote na ushambuliaji ni kama wanacheza kwa mazoea tu.
Kama timu nzima ina matatizo,shida ni jurgen klopp,msiende kupoteza hela kwa waganga bure
Naamini tutakaa Sawa Tu, ni mapito tu haya._*Upigwe na Burnley nyumbani, upigwe na nyumbu Fa cup utolewe, upigwe na Brighton nyumbani, upigwe na city nyumbani, upigwe na leicester away, ushushwe nafasi ya nne chelsea akishindaa, ufiwe na mzazi, ushindwe kwenda kumzikaa, na bado juma4 inatakiwa ucheze na Leipzig Uefa, ukitoka apo ukakutane na watani wako wa Derby Everton mechi ya ligi kuu EPL, ndugu yanguu ukikutana na shabiki wa liver kuku Umkumbatie umuhagi!! Mwambie Mungu ni mkubwa ipo siku tutayashinda Majaribu na vishawishi.

Ha ha haaa Chambaliiiin ha ha haa eti abadili matokeo hafu kuna watu wana mponda Origi ukimuuliza unanani tena atasema Chambalii
Sasa unamnyima namba Philipsi kaharibu lini? Aibu nimeona mimi

Tena mnabanaa wee ikifika mwisho kabisa yani mnaachia kifo cha mendee..Kabisa ndugu...Sio mbaya kupanda na kushuka kupo, hata Trump amekosa uraisi kwa muhula wa pili.
Duuh ina maana VVD Gomez Matip ndio visiki wa hii timu maana hilo benchi halijawai kua zaidi ya hivyo lakini ushindi ulikua unakuja..Ladies and Gentlemen! Hili ndiyo Benchi letu la Hakiba la Timu inayojidanganya Kutaka Ubingwa wa EPL.
View attachment 1701632
Tumeingia Cha Kike! Ewaaaa 🎶🎵
Tumeingia Cha Kike! Ewaaaa 🎶🎵
Tumeingia Cha Kike! Ewaaaa 🎶🎵
Tumeingia Cha Kike! Ewaaaa 🎶🎵