
Wewe ni mamluki wewe siyo liverpool khalisiHivi kumbe leo tuna mechi, hahahahahah yani timu yetu imechoka hata hamu ya kufuatilia najikuta nimekosa kabisa![]()
Acha sigara kali
Duh huyu Dembele na ndio wanasema atue Anfield haiyaaaa... Siku 85 bila kucheza ni nyingi sana...