Kiukweli naumia sana kwa matokeo haya...
Naipenda Liver,....naamini tutarudi tu hichi ni kipindi cha mpito.....YNWA
Sisi tunajua mmefungwa hayo mengine tunawaachia wenyeweMbali ya utopolo wa kipa na beki wake naomba mnisaidie sababu ya goli la kwanza la Leicester kukubaliwa.
Mbali ya utopolo wa kipa na beki wake naomba mnisaidie sababu ya goli la kwanza la Leicester kukubaliwa.
Imauma sana lkn ndiyo soka
Tumepoteza mchezo sasa tunaenda Budapest kucheza na Leipzig
Wana Liverpool HALISI tuzidi kuwa karibu na team,tuwaachie Liverpool Pep waendelee kuitukana team
Ni muda wao huu
In Klopp,we believe
Mguu wa Firmino nadhani iliua offsideMbali ya utopolo wa kipa na beki wake naomba mnisaidie sababu ya goli la kwanza la Leicester kukubaliwa.
Naomba matokeo mkuu