Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Crisis? What crisis goddamn it!

We are still top 4 in the league.
We are still the champions of England.
Give this position to Mourinho & Spursy - they will bite your hand off in order to swap places with LFC!
Hahaha Champions No More baada ya kipigo jana we have to dream small for now...

YNWA
 
Manure walipokaa kileleni kwa Wiki 2 waliomba wapatiwe Ulinzi.

Chelsea baada ya Mendy kuwapatia Cleansheet 3 mfululizo na kuongoza Ligi kwa masaa 4 waliomba kucheza na Bayern
Man city wapo kimya mpaka muda huu......Arsenali baada ya kushinda vimechi vichache nao walidai ligi ni marathoni kwa hiyo ubingwa hata wao wana nafasi
 
Adjustments.jpg
 
Keleher tuanze kum groom awe no 1..
Allison ni vizuri pia kafanya zile blunder..
Hataweza demand new contract na new salary..na bei yake sokoni ishashuka...
 
Kichekesho sana mtu hapa kuona anajua kuliko Klopp!
Angekuwepo Jones ndani ndiyo angerudi kuwa kipa kuzuia Becker kuwapa City bao za ubwete?
Liverpool imefungwa tunaishia hapo,hakuna sababu yyt ya kuanza kulaumu wachezaji wasio husika kabisa!
Gundagon anafunga bao akina Jones wapo,bao kawapa Alisson hata wangekuwepo wangezuia nn?
Kwaiyo aliyowapa tusiyahesabu?
 
Mbona unatumia nguvu kubwa kwa jambo ambalo mwaka wa 5 huu unapambana nalo kutuzuia lakini hujafanikiwa? Ivi mpaka muda huu bado unaamini tutakuwa kama wewe?
 
Hili halijaisha linaibuka jengine la Harvey Elliot, Fulham wameshampandisha dau kutoka £750,000 mpaka £6M ndiyo wanazotaka.
Kuna kupelekana mahakamani hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom