Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Carragher ameongea Vizuri sana baada ya kufungwa na City.

Amesisitiza kuwa 'Reshape' ya Squad yetu ni lazima
Klopp hapangiwi bora wakae kimya...

Hua nikikumbuka alivyoambiwa na Gary Neville hana makipa wa kumpa kombe lolote Karius na Simon aafu Klopp akafoka balaa haha akaja tena Neville kumwambia Lovren hawezi kumpa ubingwa wowote bado tena akaofoka mwishowe yale yale walio shauri hao ma pundits ndio akayafanyie kazi na kuteka dunia haha...

Whats can i say critics make you better they point where you are weak regardless wengine ni mashabiki wa timu pinzani but they say the naked truth...

Wamesema sana Salah Mane Bobby needed reshaping ya nguvu mmoja ilitakiwa auzwe lakini Klopp wala hapangiwi..

Wakasema kabla ligi haijaanza kumwachia Lovren bila kusajili mbadala ni janga na leo tunayaona...

Wame question why kumpa Milner dakika mechi tatu mfululizo huku benchi akiwa na Jones nk wala Klopp hakusiliza..

Mwishowe hua wanauliza mechi aliyoumia Jota kulikua na umuhimu wowte yeye kuwepo uwanjani huku Klopp akijua ndio mchezaji pekee mwenye uhai pale mbele..

Mambo ni mengi muda ni mchache sasa tunapambana kubakia BIG 4 lol...

YNWA
 

Post of the Year
 
Lakini Klopp mnamponda bure, checki hizi bidhaa zilivyonunuliwa ghali
  1. Virgil van Dijk - Southampton Β£75 million 1 January 2018
  2. Alisson - AS Roma Β£66.8 million 19 July 2018
  3. Naby KeΓ―ta - RB Leipzig Β£45 million
  4. Diogo Jota Wolves Β£41 million 19 September 2020
  5. Fabinho Monaco Β£39 million 1 July 2018
 
Hii mjadala ya ubora wa Timu hauna Afya tena! Tungetulia tu tukasubiri next season.

Yaani unakaa kabisa unajadili ubora wa Timu ambayo Supper subs wake ni Milner na Origi?

Tuweni wa kweli huwezi kushinda EPL kwa Timu inayotegemea mchezaji aina ya Origi na Milner
 

Hivi Kaka hiyo post ya Captain umeisoma kweli?
Kuna kitu umemiss kwenye hiyo post.
 
The ratings are a fair reflection of what actually transpired last night.
 

Safari hii mtaleta stat sana endeleeni kufukua makaburi tu.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mashabiki wa Liver bwanaaa......Mtakuja kufa buree
Ona huyu[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]

β€œThis night I'm alone,drinking my whisky Royal Stag[emoji485].If Liverpool wants continuing winning trophies,a fucking bustard jurgen klopp should be first sacked,the man has nothing to offer us,I've been always keep telling my Liverpool mates to have a look at klopp's Dortmund era.The man can't change,we've to accept that klopp's era at Liverpool has come to an end,that's it.Let me keep on drinking my whisky”[emoji898][emoji898]
 
Mkuu Lembu ingekua kununua ndio ushindi basi Chelsea msimu huu bingwa kwani walitumia zaidi ya Β£180m dirisha kubwa lakini tazama hali yao mpaka walitimua na kocha..

Ni kweli Klopp amepewa sapoti kulingana na project yake na hii project ime deliver UCL, WCC, SC na EPL hivyo hatuwezi sema kama amefeli mbali tunampa BIG UP kwanza kuleta EPL baada ya miaka 30.. We are grateful kwa kweli...

Ishu sasa inakuja kwenye kuingia sokoni wakati sahihi.. Kwa mfano lilisemwa sana kabla Ligi haijaanza je Lovren kaodoka watanunua kuziba hilo pengo lake na ukumbuke pia hawa Nats na Rys ambao ndio wanachukua nafasi ya Lovren hawakua na EPL experience...

Kwa hio mistake ya kutonunua wakati wanamwachia Lovren na mistake ya kutoingia sokoni mapema January 2021 ndio tupo hapa sasa tumepigika ndugu..

Kwa nini binafsi naona Klopp amejifelisha mwenyewe kwani haya maneno kuwarushia dongo wamiliki amechelewa sana aisee yaani kabla ya hapo alikua ndio punching bag ya FSG mpaka siku akaweka bayana yeye anapeleka majina ya wachezaji ama nafasi anazo hitaji wanunue lakini hana mamlaka ya mwisho na nani anunuliwe nk.. Hii ni new chapter ina maana sasa wenye kuelewa wanawanyooshea kidole FSG na sio Klopp.. Tazama hata hawa ma kinda wawili walionunuliwa ilikua baada ya kukosa beki wa Leverkusen, beki wa Marsielle, beki wa Braga nk yaani hawa ni baada kukwama kote huko na walikwama kwa vile hizo timu hawakutaka tukope mchezaji walitaka cash cash biashara iishe sio bla bla..

Ukija sasa kwa Klopp na upangaji kikosi yapo malamiko yapo kuhusu namna bora ya kumtumia Thiago ni dhahiri kabisa akicheza kama 8 imeonekana kuleta uhai lakini hili nalo Klopp anafanya kinyume kwenye mechi zingine tazama dhidi ya Brighton na jana...

Mambo ni mengi..

Sababu zimekua nyingi ambazo haziodoi ukweli tupo hali mbaya sanaaaaa sanaaa..

Klopp aache ujuaji mwingi akumbali kukosolewa ili kufanyia mapungufu yaliopo kazi...

Awaamini hawa CB wawili kazi ianze..

Kwa sasa tunapambana kubakia BIG 4..

YNWA
 
Bundi alianza Emirate, akahamia Darajani, Akahamia Tottenham Hotspur Stadium na sasa yuko Anfield. Amenza kunusanusa tena Emirate labda anajiandaa kurudi huko akitoka Anfield
Arejee Darajani naona yupo jirani kabisa kunishusha nafasi ya 5..

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…