Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Chonde chonde mkubwa mwenzangu kesho usiniangushe.
Wakati tukiwa na jambo tukisema leo Manchester United mfanye kweli kumzima Pep hua mnasema kila mmoja ashinde mechi zake.. Nadhani itakua mwendo huo huo ndugu..

Ki ukweli sioni kesho pakutokea labda Klopp aache his Nazi pride na aje kimkakati zaidi Thiago akiwa juu zaidi na 4 1 2 3 ama 4 2 1 3 ila kama ndio 4 3 3 lol hatuna letu zaidi kuachwa pointi 10 na Manchester City.

YNWA
 
Dah! Leo nimepitwa hapa kumbe palikuwa na game la kufa Mtu kati ya Brother MosDef na Chama langu la Liverpool HALISI 🙆🙆

Naangalia Scoreboard hapa MosDef anaongoza 3 kwa 1 lakini Chama langu la Liverpool HALISI limerusha kiatu balaa!
 
Everton 3 Manchester United 3..

Manchester United defending set pieces is horrible actually its might be the worst in the league...

Dropping points in injury time is damn harsh to take..

Now we its all systems go kesho as we aim to reclaim our top spot.. We take each game at a time..

We dethrone Leicester at 3rd then we sweep Manchester United at 2nd and if luck is by ourside we give a shot for the 1st position haha dreams come true..

Mkuu hao Manyumbu nilichokiona kwenye raundi ya pili hii hawana huwezo wa kuchukua point 3, zile goli 9 ilikuwa ile kadi iliwasaidia.

Me nilishaliona hilo,namna point walivyochukua raundi ya kwanza ilikuwa inatiashaka sana penalty hata azieleweki.

Na walivyo Manyumbu hawako vizuri kwenye kuzuia,soon tutawaacha hawatakuwa na huwezo wakuchukua point 3 zaidi ya sare au labda timu pinzani wacheze pungufu. Mechi ijayo ya Manyumbu na Wes bro itakuwa sare au wanakufa hao Manyumbu.
Tunachotakiwa kuchukua point 3 kwa kila mechi me naamini tunarudi kwenye nafasi ya kuchukua ubingwa.
 
Kesho tunashinda bro wasi wasi ondoa.
Sisi Livakuku HALISI kwa pamoja tunaendelea kuwasha udi na kujifukazia ubani, ushindi ni lazima game ya kesho.

Nani asie ya ogopa majogoo?

Yani nyinyi Maiti ondoeni tamaa ya Ubingwa
 
Mkuu hao Manyumbu nilichokiona kwenye raundi ya pili hii hawana huwezo wa kuchukua point 3, zile goli 9 ilikuwa ile kadi iliwasaidia.

Me nilishaliona hilo,namna point walivyochukua raundi ya kwanza ilikuwa inatiashaka sana penalty hata azieleweki.

Na walivyo Manyumbu hawako vizuri kwenye kuzuia,soon tutawaacha hawatakuwa na huwezo wakuchukua point 3 zaidi ya sare au labda timu pinzani wacheze pungufu. Mechi ijayo ya Manyumbu na Wes bro itakuwa sare au wanakufa hao Manyumbu.
Tunachotakiwa kuchukua point 3 kwa kila mechi me naamini tunarudi kwenye nafasi ya kuchukua ubingwa.
Upo sahihi ndugu shida ni pale tunapigika Anfield ama draw na hivi vitamu ambavyo ni green pastures ya kugawa pointi kwa wengine...

Nafasi bado ndugu kwetu kwani msimu huu bado mbichi tumebakiza mechi 16 mzunguko wa pili uishe ni nyingi mno hizo.. Klopp na vijana waanze leo kuonyesha nia dhabiti kuokoa msimu wetu...

YNWA
 
Jurgen Klopp backed to ditch Liverpool and join Bayern Munich over transfer concerns

Liverpool boss Jurgen Klopp has been tipped to join Bayern Munich.

Former Liverpool midfielder Jamie Redknapp thinks Jurgen Klopp will take charge of Bayern Munich in the near future because he has not been heavily backed in the transfer market.

Liverpool were in dire need for a centre-back last month because Virgil van Dijk, Joe Gomez, Joel Matip and Fabinho were all sidelined.

But instead of bringing in a top-class defender, Klopp had to hunt around for cheap alternatives.

Ben Davies was captured from Championship side Preston for £2m and Ozan Kabak was brought in on loan from Schalke.

Klopp complained to the press that he did not have any money to spend.

And Redknapp feels the Liverpool manager's comments may have a deeper meaning.

I thought Jurgen's words were really interesting," Redknapp told the Sunday Mirror.

“I sensed frustration with him because he wanted a new player.

“The problem was who could Liverpool buy to replace Virgil Van Dijk?

“You can't spend £50-60million on a player knowing that in April your best player is coming back from injury. It could cause more problems than it's worth.

“I was surprised to hear what Jurgen said – and maybe in a couple of years he might want to leave to manage someone like Bayern Munich.

“That always seems to be the calling for a lot of German players and managers.

“I think there was a sense of frustration with him, but once Liverpool get their best players back at the end of the season I am sure he will be fine.”

Duu wameanza mdogo mdogo media wataanza kutuaminisha Klopp anahamia Ujeremani..

Kazi ipo..

FSG lol wapo kama hawapo..

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom