Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

HT 0-0

Not a bad half except we need to up the tempo - we are playing the right thing but not the right way. Msimu huu tumezidisha sana chenga na kukokota mipira badala ya "pass and move" tuliyoizoea.

1612718482354.png
 
kiukweli kipindi hiki cha kwanza liva mmecheza mpira mwingi sana,,,, kama mtapunguza pasi fupi fupi na kupiga counte hii game yenu

kwa upande wa man city walicheza kama dk15 za kwanza baada ya hapo wakapoteana yule phili foden game sio yake hii,, Gundogan anakaa sana na mali mguuni pas zake anatoa kipind mwenzie kashakabwa,,,
by ze way kwa izi dk45 mmetupa kitu roho inapenda
 
Tushinde hii game majogoo chance ya kutetea ndoo ipo leo . man u msifikiri we are doing a favor to you gape likiwa point mbili na bado una mechi na kipara utakua unatafuta top 4
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom