Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 16,534
- 18,630
The citizen without KdB they are not a threat any more!Manchester United dont have the balls to dethrone us hivyo we are left with the Citizens to see who will have the last laugh...
The citizen without KdB they are not a threat any more!Manchester United dont have the balls to dethrone us hivyo we are left with the Citizens to see who will have the last laugh...
Wow dream come true...Thiago Alcantara.
wait, until Faby gets to partner him in that MF.
Wow dream come true...
We are winning the league aisee..
Manchester City without KDB seem lost no ideas soon they will taste defeat na wanaanza kwetu...
Now Thiago upfront is just fabulous..
YNWA
Timu yangu ina maajabu sana, kwa hiyo hawa mabeki ndo tunataka waje watusaidie kushinda ligi na UEFA?
Au malengo ni nini?
Umesahau kuwa tulimuokota Adrian Mtaani anauza Duka la Nguo na akatupatia Super Cup na Club World Cup?
.Michael Edwards is a Genius.
Manchester City bila KDB wanakosa ile top top creativity...Last match nimeona jinsi gani wana hangaika asipokuwepo yule kiumbe
Hahaha hakuamka tu asubuhi moja akawa hivi kaanzia mbali sana tena kwenye mediocre teams hivyo he has been there to learn na sasa yupo kwenye kilele cha mafanikio shinda yangu bhana wasije wengine kumnasa kama Real Madrid, Barcelona, Juventus, Milan, PSG wakampa ofa nono atuache aisee...Timu nyingi kwa sasa zina tamani kama hivyo,maana wanatumia hela nyingi lakini hakuna mafanikio.
Msimu uliopita Man U ,alitumia hela nyingi sana kwenye usajiri lakini hakaambulia kucheza nusu fainali tu na kutoka mikono mitupu.
Msimu huu chelsea wametumia hela nyingi kwenye usajiri raundi ya kwanza tu wamefukuza kocha.
Aisee kweli kuumia kwa Matip kumelata solutions ya CB tena wawili kwa mpigo..Na wenye majeruhi wataanza kurudi na kuungana na wengine ambao pia wako kwenye form,
Em vuta picha now tumeanza ku score then jota aongeze nguvu tena, cb zitakuepo hivyo bas fab na hndson watacheza nafas zao.
Kuna watu wataanza kusugua bench muda si mrefu..
Kwenye kila tatizo kuna faida pia, tatizo ambalo limetukuta mechi zilizopita limetupa faida em fikiria kama lingetukuta mwezi march au huu feb tungekuwa hatuna options,