Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ukiachana na Ufundi basi na Bahati ipo kwa Mwanadamu (Kwa hapa ni Mpira).

Mfano wa bahati hizo ni:-
  • Kuuzwa lukaku kwasababu ya Martial.
  • Kucheza Martial ahead of Cavani
  • Kucheza Abraham ahead of Giroud
  • Kucheza Origi ahead of Minamino
Huyu klopp ameua kipaji cha Keita kaona aitoshi kaua na kipaji cha minamino.
 
Kwamba Sheffield ni kibonde... Nani kasema
insta_2500527787133402508.jpg


Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom