Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Hizi ni habari njema sana
Hizi ni habari njema sana
I tell you na huyu Mane ujue bado hajapona hivyo tunahitaji new dimension pale mbele.... Hii ya Mane naona pengine Jumapili atakuwepoHizi ni habari njema sana
Hivi huko mazoezini hawa jamaa wanajifua kama ni mechi kweli ama maana hii ya mara ya pili msimu huu anaumia mazoezini..Rumours
Allison Becker is injured tonight.
Ni mwendo wa kuanzia 3 kwenda juu, maana tuna ukame wa magoli sana.We need to keep the Momentum, Tunahitaji point 3 tonight. No Excuse.
MmmmmmhTetesi: Salah, Tiago na Alison hatihati kuikosa game ya leo
A statement on Liverpool's website read: "Alisson Becker is set to miss Liverpool’s Premier League fixture with Brighton & Hove Albion this evening.Rumours
Allison Becker is injured tonight.
Ni kweli naona kwenye list yupo Kelleher na Adrian kwenye bench!A statement on Liverpool's website read: "Alisson Becker is set to miss Liverpool’s Premier League fixture with Brighton & Hove Albion this evening.
"The goalkeeper is ruled out of the Anfield clash due to illness."
YNWA
Wapo kwenye starting list. Anayeikosa ni Allison!Tetesi: Salah, Tiago na Alison hatihati kuikosa game ya leo
Daah, hopeful sio Covid 19A statement on Liverpool's website read: "Alisson Becker is set to miss Liverpool’s Premier League fixture with Brighton & Hove Albion this evening.
"The goalkeeper is ruled out of the Anfield clash due to illness."
YNWA