Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

LIVERPOOL TEAM NEWS – NO ALISSON; FIRMINO STARTS

Team to play Brighton: Kelleher, Robertson, Alexander-Arnold, Henderson, Phillips, Milner, Thiago, Wijnaldum, Salah, Shaqiri, Firmino

Subs: Adrian, Origi, Oxlade-Chamberlain, Jones, Tsimikas, R Williams, N Williams, Davies, Cain

YNWA
 
Screenshot_20210203_232535.jpg


YNWA
 
Hii mechi kama ina ugumu ugumu flani hivi.

Anyway, nawatakia ushindi msogee nafasi zenu, yule nyumbu kukaa pale alipo hastahili kabisa!
 
Tunahangaika kufanya yale yale. Cross in wakati jamaa ni warefu Sana. Through ball passes hazionekani. Pengo la mane wazi.
Shakiri hachezi kama mshambuliaji zaidi anakuwa kama mido.
We need origi now
 
Tumerudi kule kule losing passes position and not being super patience yaani Klopp sijui hua haangalii video za hawa wapinzani vizuri...

Graham has changed this club kuwafunga hawa sio kubahatisha inabidi kujipanga kweli kweli..

Huyu Ox hata sijui wa nini wakati dogo Jones ndio angalau huleta uhai siku hizi..

Kwa leo hakika sare inatufaa ila Brighton wana deserve kutoka hapa na pointi 3..

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom