Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

It makes no difference.
Tumechukua uefa na ligi tukiwa na back line ya
#trent(dogo flan kutoka under 18 team)
#robertson(dogo flan alichukuliwa tu kutoka timu iliyokuwa inashuka daraja)
#gomez(kinda tu wa palepale anfield)
#matip(bek wa bure kutoka germany league)

So hatuko kwenye position ya kusema kwamba hii ni failed project or not
 
Team nyingine inabidi wakae chini then wadiscuss kipi watuachie kati ya uefa au epl msimu huu...

Nina sababu kwanini nasema hivi
Hahaha we are back with a BANG man we need both lol...

Mkuu ni vijana wawe bila majeruhi hilo ndio silaha kuu kuokoa msimu wetu..

Na kingine ni vijana kucheza mfumo wetu playing as a unit case study hizi gemu mbili za mwisho ndio Liverpool ninayoijua mimi..

YNWA
 
Kwa wale mashabiki wa Manchester United msikilizeni Gary haha

Liverpool are back..

Gary Neville: "I may have had a bit of fun, let's be clear, watching Liverpool drop points in those midweek games and seeing Man Utd go top of the league. I felt it was just a two or three-week party. I thought it would come to an end at some point and Liverpool would resume their form."

YNWA
 
Klopp had to throw bitter words kwenye media, to force FSG hands on Transfer window, and recent Fabinho and then Matip injuries zimesaidia ku-speed things up.

But, kwa uzembe wa FSG, tumepoteza si chini ya points 8 kwenye league & kutolewa FA cup.

Its not too late kwenye League, but tungekuwa in good position kama FSG wange-react early & faster kwenye hii transfer window.

Edwards did a good job again, ukizingatia time aliyopewa na FSG, it was a race against time, and we have managed to pin down 2 centre backs.

Lets all get behind these 2 players, especially Ben Davies (from championship), Edwards & Klopp walikuwa na muda mdogo sana kutafuta CBs, and good CBs are pricey because inakuwa ngumu sana kuachiwa na clubs zao January, hence deals zote mbili za Botman (my preffered choice, had the pressure to profile him) & Caleta-Car zimeshindwa kuwa concluded kwasababu ya price & time ndogo ya negotiation.

Lets all get behind Kabak & Ben Davies, and try to CHALLENGE for the League & CL.

Thiago has settled, we have got 2 new CBs and Jota & Keita will be back soon, plus the Front 3 are back in form again. Things will get better.

I said it on here once Klopp akishamalizana na kum-coach Thiago suala la positioning as a 6 & 8 kwenye his 433 formation, things will change rapidly, and tumeona kwenye last 2 games, Thiago in a diamond shape as a 8 kwenye 433, imeleta aggrigate ya goals 6 mpaka sasa, and ndiyo kwanza combination yake na Klopp imeanza.
 
Man I salute this transfer guru..

He has saved lots of chums for shrewd signings with 2 guys ..

Kabak gets his dream to play alongside his idol in VVD..

YNWA
Time aliyokuwa nayo na alichokifanya, anahitaji sana pongezi

option ya kumnunua Kabak ni 18m in the summer, imagine FSG hawakuwa na hicho kiasi hii transfer, so hiyo 18m in the summer nadhan itatokana na sales za Origi, Shaqiri, Ox, Philips etc.

Origi, nasikia aligoma kuondoka hii January.
 
Thiago now unleashed

Thiago Alcantara vs. West Ham

89% Pass accuracy (91/102)
4/7 Accurate long passes
2 Chances created
13/16 Duels won
2 Interceptions

Thiago has taken to the Premier League like a duck to water. A really really talented duck. A duck I could watch play for hours. Cheers.

Keita might get some minutes vs Seagulls..

Vs Manchester City woow what's if Klopp do a surprise tuwaone Thiago Keita Fabinho kwa pamoja MF..

Cant wait for Sunday game..

YNWA
 
Poor Schalke 04 they are taking a hit of around £12m if come June 2021 we activate permanent signing...

YNWA
They had no option.

Though it seems, Klopp first choices were Botman & Caleta-Car.

But, hata Salah/Mane/Gini etc hawakuwa his first choices, and they turned out to be world class.

so sina wasiwasi na Kabak.

and nasubiri kuona atakachotu-offer Ben Davies, i will back him.
 
Thiago now unleashed

Thiago Alcantara vs. West Ham

89% Pass accuracy (91/102)
4/7 Accurate long passes
2 Chances created
13/16 Duels won
2 Interceptions

Thiago has taken to the Premier League like a duck to water. A really really talented duck. A duck I could watch play for hours. Cheers.

Keita might get some minutes vs Seagulls..

Vs Manchester City woow what's if Klopp do a surprise tuwaone Thiago Keita Fabinho kwa pamoja MF..

Cant wait for Sunday game..

YNWA
Thiago Alcantara.

wait, until Faby gets to partner him in that MF.
 
Time aliyokuwa nayo na alichokifanya, anahitaji sana pongezi

option ya kumnunua Kabak ni 18m in the summer, imagine FSG hawakuwa na hicho kiasi hii transfer, so hiyo 18m in the summer nadhan itatokana na sales za Origi, Shaqiri, Ox, Philips etc.

Origi, nasikia aligoma kuondoka hii January.
FSG are confused ile dili lao la kuuza share limebuma...

Without Edwards we are finished guys huyu jamaa anakula mshahara kihalali kabisa..

Pia pongezi kwa mawakala wa hawa wachezaji maana muda ulikua mchache sanaaa..

YNWA
 
Hahaha we are back with a BANG man we need both lol...

Mkuu ni vijana wawe bila majeruhi hilo ndio silaha kuu kuokoa msimu wetu..

Na kingine ni vijana kucheza mfumo wetu playing as a unit case study hizi gemu mbili za mwisho ndio Liverpool ninayoijua mimi..

YNWA

Na wenye majeruhi wataanza kurudi na kuungana na wengine ambao pia wako kwenye form,

Em vuta picha now tumeanza ku score then jota aongeze nguvu tena, cb zitakuepo hivyo bas fab na hndson watacheza nafas zao.

Kuna watu wataanza kusugua bench muda si mrefu..

Kwenye kila tatizo kuna faida pia, tatizo ambalo limetukuta mechi zilizopita limetupa faida em fikiria kama lingetukuta mwezi march au huu feb tungekuwa hatuna options,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom