Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nat Philips ni mwisho wa matatizo. Antonio hapumui leo
Dogo hana bwebwe anafuata defending basic rules... Kucheza Ujeremani kumemkuza kiasi fulani ukimlinganisha na Rys..

Nats msimu huu amecheza mechi 5 na tumeshinda mechi 3 huku tukitoka sare mechi 2..hajapoteza mechi huyu dogo.

Jana stat zake zipo hivi.. According to WhoScored, Phillips had a pass accuracy of 84.2%, won four headers, took 84 touches, attempted one dribble, and made one tackle and four clearances.

Ana miaka 23 hivyo ana umri wa kumfanya kua bora zaidi especially kwenye kufunga mipira ya kichwa, pasi za mbali za mwisho nk..

YNWA
 

In klopp we trust.
 
Hapo sepp van de berg anaenda kwao kwa mkopo part of this deal
 
Mufungwe leo, ili muendelee kushuka kuelekea chini

Kwa sasa timu yako haina uwezo wa kuchukua point 3,ni mwendo wa draw tu. Mkijitahidi ni sare.mechi ijayo na southampton hiyo ni sare hamtashidnda hiyo mechi.ndio mlichobakiza kwa sasa kuombea mabaya wengine.
 
Marseille would need to find a replacement for Liverpool to seal the Caleta-Car deal [@_pauljoyce]
 
Ni kweli lakini mimi ukirudi katika michango yangu nimekuwa naamini anapita kipindi kigumu tu na sio yeye wachezaji wote.
Lakini siku game itakapomkataa Kuna Washabiki hapa ndiyo watakapomkataa na kusema Auzwe kama walivyosema mechi 6 zilizopita wakati Timu nzima hakuna aliyekuwa anafunga.
 

Kuhusu Watu kubeza Usajili wa Robertson Kiongozi naomba Ufute Kauli yako.
Mimi nina Ushahidi wa 100% kuwa hakukuwa na Mshabiki wa Liverpool yoyote aliyejua kuhusu usajili wa Robertson, sote tulikuja kumuona uwanjani tu na hatukujua kasajiliwa lini! Hivyo hakuna aliyepata nafasi ya kubeza.
Na kwa bahati nzuri game yake ya mwanzo alicheza uzuri sana ndiyo hapa tukaanza kufatilia kasajiliwa lini na alitokea Timu gani. Kama nasema uongo nakubali kusahihishwa.

Hizi kauli za kuwa tulibeza usajili wa Robertson zilianzishwa na baadhi ya Watu kwa lengo la kuwa Waonekane wapo Up to date kwenye taarifa hivyo wao walipata mapema taarifa za kusajiliwa Robertson jambo ambalo sio sahihi.
 

Dah! Lakini kwa Origi hata huko Mazoezini anaweza kuwa Mvivu
 

Hivi unajua kuwa Manure anafukuzana na wewe kwenye Ubingwa?
 
Dah! Lakini kwa Origi hata huko Mazoezini anaweza kuwa Mvivu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Basi dogo atakua kamtengeza mwenzie kibongobongo kila Klopp akitaka kuadika jina la Taikumi basi linatokea Origi...

Kama kweli hata mazoezini ni mvivu basi huyu Origi anachezesha kwa kutafutiwa soko na si kingine..

Taikumi awe mvumilivu atapata dakika za kutosha msimu ujao kwani Shaqir, Origi watakua wameshasepa..

YNWA
 
Asante sana mkuu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…