OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Kwa iyo nyie matakataka wote mpo liverpool halisi? Kweli Malafyale m'babe wao..wote mumelegeza kwake
Updates Mkuu wanaangalia short term option na long term option...Wakuu Kuna updates zozote kuhusu kusajili
Aiseeeee mambo ni magumu sanaUpdates Mkuu wanaangalia short term option na long term option...
Wanaotajwa ni
Aaron Long kutoka New York Red Bull
Mustafi kutoka Arsenal
Elder Militao kutoka Real Madrid
Issa Diop kutoka Westham.
Ben White kutoka Brighton..
Steven Caucker kutoka Alanyaspor
Fununu ni kwamba timu nyingi wanataka kutoa mchezaji kwetu kwa mkopo na kuwe na kipengele cha kumnunua baada mkopo ukimalizika..
Kwa mfano Elder Militao wanataka Real Madrid £50m.. Issa Diop Westham wanataka £25m..nk
Mtihani uliopo sasa ni kwamba lazima Liverpool iuze non homegrown players mmoja ili kutoa nafasi ya usajili mpya kutimiza wachezaji 25 wanaosajiliwa na EPL ama ifute usajili wa mchezaji mmoja..
Aidha kwa sasa wanajaribu kumwachia Adrian bure kabisa kwani mkataba wake unaisha June 2021 na alishakua chaguo la tatu hivyo hata akiodoka timu haina wasiwasi...
Option nyingine ni kufuta usajili jina la VVD kwa msimu huu mzunguko wa pili ili kujaza hio nafasi endapo watapata mchezaji wa non homegrown.. Hii ina mtihani kwani Klopp na watalaam wake wa rehab wanaamini VVD atapona na kucheza tena msimu huu...
Ni mwendo wa kusubiri ndugu..
YNWA
Taarifa ni kwamba bila kuumia Matip na Fabinho wiki hii Liverpool wasingeingia sokoni kununua CB January hii..Aiseeeee mambo ni magumu sana
Hela si Ipo kwanini maamuzi ya dhati hayafanyikiTaarifa ni kwamba bila kuumia Matip na Fabinho wiki hii Liverpool wasingeingia sokoni kununua CB January hii..
Haya majeraha ya wiki hii yamebadili tena msimamo wa klabu kuingia sokoni na kimbaya zaidi muda haupo aisee..
Mpango ulikua wasajili CB kutoka RB Ujeremani Dayot Upamecano Juni 2021 wakati kipengele cha bei yake kitashuka mpaka £38m, huyu dogo ni long term wamefanya profiling ya kutosha na wamejiridhisha ana fit kwenye philosophy ya Liverpool... Japo sasa Dayot ikifika Juni nae wahitaji ni wengi kuanzia Manchester United, Real Madrid, Bayern Munich nk
Ngoja tuone ndugu ukute hata hao wanaotajwa hatachukuliwa hata mmoja mbali watanunua asietajwa kwani Edwards hua hatabiriki..
YNWA
Dayot hawataki kumuuza mwezi huu ndugu huku pia ujue tunakutana nao Champion League mapema February hiiHela si Ipo kwanini maamuzi ya dhati hayafanyiki
Atoke tu huyo Adrian sijawahi kumwelewa kabisaDayot hawataki kumuuza mwezi huu ndugu huku pia ujue tunakutana nao Champion League mapema February hii
Kama umemsikiliza Klopp vizuri alivyotoa ufanunuzi wa haya mambo anasema watanunua tu endapo ni mchezaji bora zaidi ya waliopo na bei iwe ina ushirikiano na wages pia...
Ndio maana aliona asubiri rasmi amdake Dayot Juni 2021...
Kama Adrian anaodoka inakua ni blessings in disguise kwani kwanza klabu inapata nafasi ya noni homegrown lakini pia wanasevu wages zake kuja kulipa CB kama watampata.. Ukumbuke Adrian anakula mshahara huku ukijua upo uwezekano asicheze tena Liverpool kwani FA na Carabao hatupo hivyo sioni akija kupata tena nafasi... Kile kipigo cha Aston Villa kilimshusha mno klabuni yaani ni kama hayupo...
YNWA
Unataka atoke aende wapi sasa? Wee vip wewee eboo..Atoke tu huyo Adrian sijawahi kumwelewa kabisa
Ulilivua nguo mkuu hilo tilatila!😂😂😂 Post uliyosema ni hii hapa 👆
Kweli uchawi upo
Mimi nimefunga kabisa , Maombi yakunena kwa lugha yanabubujika hapa kuiombea team, Liverpool Pep waendelee kuwatukana wachezajiWana Liverpool HALISI leo tuna mechi muhimu sana,tuzidi kuwa nyuma ya team muda ukifika!
In Klopp,we trust
Adrian mwenyewe kashajikataa anapambana apate timu Spain kwao japo muda ni mchache mno hopefully atapata achomoke zake...Atoke tu huyo Adrian sijawahi kumwelewa kabisa
Spot on.Updates Mkuu wanaangalia short term option na long term option...
Wanaotajwa ni
Aaron Long kutoka New York Red Bull
Mustafi kutoka Arsenal
Elder Militao kutoka Real Madrid
Issa Diop kutoka Westham.
Ben White kutoka Brighton..
Steven Caucker kutoka Alanyaspor
Fununu ni kwamba timu nyingi wanataka kutoa mchezaji kwetu kwa mkopo na kuwe na kipengele cha kumnunua baada mkopo ukimalizika..
Kwa mfano Elder Militao wanataka Real Madrid £50m.. Issa Diop Westham wanataka £25m..nk
Mtihani uliopo sasa ni kwamba lazima Liverpool iuze non homegrown players mmoja ili kutoa nafasi ya usajili mpya kutimiza wachezaji 25 wanaosajiliwa na EPL ama ifute usajili wa mchezaji mmoja..
Aidha kwa sasa wanajaribu kumwachia Adrian bure kabisa kwani mkataba wake unaisha June 2021 na alishakua chaguo la tatu hivyo hata akiodoka timu haina wasiwasi...
Option nyingine ni kufuta usajili jina la VVD kwa msimu huu mzunguko wa pili ili kujaza hio nafasi endapo watapata mchezaji wa non homegrown.. Hii ina mtihani kwani Klopp na watalaam wake wa rehab wanaamini VVD atapona na kucheza tena msimu huu...
Ni mwendo wa kusubiri ndugu..
YNWA
Sijawahi kumuhesabu Mustafi kama ni Mchezaji Mpira but kwa hali tuliyonayo bora aje tu namkaribisha lakini Alipoona VVD na GOMEZ naanza na MustafiOut.B
Bora Philipsi aliokosa uzoefu kuliko huyo tuta anza shuhudia penat za ajabuSijawahi kumuhesabu Mustafi kama ni Mchezaji Mpira but kwa hali tuliyonayo bora aje tu namkaribisha lakini Alipoona VVD na GOMEZ naanza na MustafiOut.
Yeah. Anafungwa pale usipotegemea na anazuia pale usipotegemea!Atoke tu huyo Adrian sijawahi kumwelewa kabisa
Yule dogo ni mduanzi sanaYeah. Anafungwa pale usipotegemea na anazuia pale usipotegemea!