Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Very easy games hizo but itategemea na ubora wa kikosi chetu tu!
If Klopp will set up the system with Gini Milner or Jones as half HMs na Thiago apewe that freedom to go more forward basi we are winning all 3 games man...

We beat Manchester City assuming watashinda the next 2 games then we reduce the deficit to 4 points which is all cool..

YNWA
 
Mkuu sorry sana Aisee,nilikuwa Nimekuelewa vibaya.

Nilijua ulikuwa unamaanisha,kucheza mechi tukiwa anfield tena,na sio kucheza mechi yoyote aisee,mechi kucheza ni kila weekend na katikati ya wiki.nisamehe bure mkuu.

In klopp we trust.
. Sawah mkuu 🙏🙏
Nisamehe 2
 
I don't think right option is available right now, they should act mapema sana na sio dakika hizi za mwisho.

 
Muko nafasi ya ngapi wakuu?
Maana mwezi wa pili huo una nyemelea.
 
Wakuu Kuna updates zozote kuhusu kusajili

Adjustments.jpg
 
Sijawahi kumuhesabu Mustafi kama ni Mchezaji Mpira but kwa hali tuliyonayo bora aje tu namkaribisha lakini Alipoona VVD na GOMEZ naanza na MustafiOut.
 
Muko nafasi ya ngapi wakuu?
Maana mwezi wa pili huo una nyemelea.

Hiyo unayoifikiria ndiyo nafasi atakayomaliza Manchester United.

Nakuhakikishia Mwezi huu wa pili hauishi kabla hujakaa kwenye Nafasi yako ya 3
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom