Wananzengo Samahanini Toka tufungwe home tumecheza Tena?
Nipo makalioni mwa Dunia kabisa Sielewi chochote
unahitaji kuwa Midfield wawili wanaokaba kama Fab na Hend au Gin ili Keita au Thiago kupata free role kama 8 ndio maana jana umeona Thiago alikuwa sana mbele kupeleka mipira.tukibahatika pancha Keita akacheza mechi zilizobaki bila kuumia, aisee tutakua moto wa kuotea mbali.......
keita,thiago,fab wakikaa mido lazima uombe poo
Mi nilishasema nataka msuluhu.
Ila mimi hua nasema mapema hata saa 5 kabla.
Lini nimesema manyumbu wanachukua ubingwa?Bado Manyumbu watachukua ubingwa? Au umebadilisha mawazo yako tena?
Msimu huu wa 2020/21 Ubingwa unachukuliwa na Manchester United kwasababu ndiyo Timu pekee yenye uwezo wa kufanya hivyo.
Ninavyojua mimi ni kosa kwa mtu kuedit alichoandika mwingine ili kumislead. Inaweza kupelekea ban.😂😂😂 Post uliyosema ni hii hapa 👆
Kweli uchawi upo
. Okay MkuuHatuja cheza bado mkuu.
We need replacement for Millie now ooh so now the man is 35+ huhMilner kama Milner janaa utadhani ana miaka 25 kumbe 35 haha...
All round better performance hii ndio nguzo yetu tukicheza kama timu tunakua unstoppable..
Jana we played as a unit...
Feels really cool getting back the winning spirit huku next game but one ikiwa ni the Citizens...
Nowhere we come with a mission..
We take one game at time..
YNWA
How is that ''they have three days left to have the transfer done" when today is 29th of January man?!!Matip lol huyu jamaa mechi 3 kucheza bila majeruhi mbona mtihani sana kwake..
Hapa utasikia nje wiki 3...
Mpaka sasa ni kwamba hatuna CBl wala CBR aliemzima kikosini...
Nats Phillips jana alionyesha uhai kiasi fulani..
Fununu ni kwamba klabu ipo hatua za mwisho kumnasa CB mmoja kwa mkopo.. Wana siku 3 kumaliza huo usajili...
YNWA