Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Game ambazo liverpool huonekana mchovu ndo huwa anashindaga
 
Who is next by the way? Kwa mpira wa leo lazima ajipange! Leo nimeona faida ya kupiga mashoot golini kwa adui! Nilikuwa nimeyamiss sana!
 
Hongera sana wana Liverpool HALISI
Hii mechi imepita
Sasa ni mechi ijayo na WHU
Mechi hiyo ni ngumu sana,tuzidi kushikamana na ndiyo ngao yetu
In Klopp,we believe
 
Nuksi iliyotutia West Bromwich imeisha rasmi leo. Wale jamaa wananuksi sana na Liver, 2014 Anichebe aliwasawazishia (1 - 1) tukayumba na kupoteza uelekeo hadi kukosa ubingwa. 2018 tukiwa moto Rondon aliwasawazishia ( 2 - 2) tukapoteza uelekeo kwa draw za kufuatana na tukapigwa final UEFA na R. Madrid.
 
Cheapskates Owners. We are doomed for real man. Only German Nazi now can save us
 
Nimeona magoli manne kwa mawili Leo katika maombi yetu na Malafyale kiongizi wetu mkuu,

Tupo nyuma ya team, In Klop and in God we Trust [emoji120][emoji120]

Sasa rasmi tunakupa Ukatibu wa Liverpool HALISI chini ya mwenyekiti wetu Malafyale.

Kushikamana ndiyo Ngao yetu.
 
Siku vizuri kiafya ndugu zangu wapendwa wanaliverpool, jana sijaangalia game kabisa lakini naamka nakutana na ushindi mnono kabisa, haya ndo maisha ya liverpool tuliyoyazoea siyo yale ya kutoa sare na manure na kufungwa na Burnley
 
Sheria ya Msimu huu inasema "Kila atakayeongoza Ligi japo kwa siku moja ni lazima ashuke mpaka nafasi ya 4 au zaidi."

Everton tayari
Spurs tayari
Liverpool tayari
Manure on his way to 4th
Mkuu game ilikuaje Jana?
 
Maiti anafufukia kwa Spurs
  • Salah ameshatoa gundu jana
  • Mane atatoa gundu kwa Spurs
  • Firmino atakufa na gundu tu hakuna namna

Kulikuwa na kanuksi fulani kamewakamata Wachezaji Wetu, tayari Salah alikaondosha kwa Manure, Mane na Bobby wamekaondosha kwa Spurs.

Bobby nilimsema Vibaya kwasababu sikuona dalili ya kufunga tena.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…