Duh jamaa wana hali mbaya sana....Mshenzi Bartomeu Arturo Vidal kauza kwa £1m ,Suarez kwa 7£ m na upuuzi mwingi kumbe Club ilikuwa inazidisha deni hadi kufika 1 £billion
Henderson anasidikiza haha...Mane kapoteza nafasi ya wazi mwenzie Son kapata nafasi kama ile katufunga
Duh jamaa wana hali mbaya sana....
YNWA
Its a very sas scenario... Jamaa kaharibu sana timu yaani raisi ajaye ana kibarua sana namna ya kurejesha afya ya timu kipesa...Bartomeu ni janga ,hivi kweli Barca ya kupata deni la £1 billion na hamna cha maana kama miaka 6 inapita no UCL tittle
Hahaha sina data za Pep sponsorship deals man..Man if we were to take only sponsorships earnings ,then Guardiola is no where near or levels with this German Gaffer
Wamemkojoza shangazi yako?Naona mmeshakojozwa kamoja
