Nyumbu mnajiona mpo vizuri sana. Tusubiri dakika 90
Hatuna Centre back mkuuKwa hiyo wadau tunajiteteaje!
Ni Mick Mouse Cups au majeruhi wengi!
Kwa hiyo wadau tunajiteteaje!
Ni Mick Mouse Cups au majeruhi wengi!
Poleni sana ..hawa manure dawa yao tunayo hawa ni wateja wetu FA
MAITI MNABEBA AU TUNAZIKIA PALE PALE OT?![]()
Nimekusoma mwenye kiti, hapa ni mwendo wa kuimba na kuabudu.Nawapongeza sana Liverpool kwa mchezo wa leo,hii imekwisha tunaenda home kujiandaa na Spurs!
Liverpool HALISI tuzidi kuwa nyuma ya vijana wetu,hamna faida yyt ya kuanza kutukana team.
In Klopp we trust
Nilitarajia liva aje na kikosi kizima cha ligi. Nilidhani united atataka kutunza wachezaji wake kwa ajili ya ligi, ole had other plans. Hata hivyo leo milkua low mno kama vile siyo nyie mliomiliki mpira kwa 60%
united amestahili ushindi. So Klopp out au bado?