OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Oyaa leo Origi vip hayupo bench? Aje kuokoa jahazi..
Umewaza kama mimi. Salah especially ameonesha confidence ambayo ilianza kupoteaHii mechi hata tukipoteza bado nitabaki na furaha Kuwa Tumefunga magoli na kuondoa ukame uliotupiga roba
Ila duh mpira una mbinu nyingi sana hii ya Bayern Munich nayo imetulia mno utekelezaji wake nao unahitaji uvumilivu ila kuliko hii cat and mouse game ya FSG naona hii ya Bayern inatufaa kwa sasa...Hawa FSG kutokana na sera zao za Fedha walikuwa wafate mfumo wa Bayern München tu ingawa kwa uwengereza ni ngumu sana kuimplement.
Bayern ana wachezaji wazuri lakini hata siku moja huwezi kusikia amesaini wachezaji wa bei kubwa.
Anachofanya yeye ni kuvizia wachezaji waliomaliza mikataba akawachukua bure kama kina Goretzka.
Anavizia wachezaji wanaokaribia kumaliza mikataba na kuwasaini kwa bei ya chini kama kina Lewa.
Anajiokotea wachezaji wadogo wenye vipaji kwa njia za Hadaa kama alizotumia kumtoa Serge Gnabry Arsenal kupitia Timu nyengine.
Kuchukua wachezaji wazuri kwa mikopo kama alivyofanya kwa Coutinho, Douglas Costa n.k.
Hizo ndiyo njia wanazotumia Bayern kujipatia Wachezaji bila ya gharama kubwa.
Hivyo na hawa FSG kama wanaona shida kutoa hela basi wangetumia njia kama za Bayern tu kupata wachezaji.
Yaani mmeanzisha kikosi kinene na bado mnafanywa hivi? Fanyeni kupindua meza nyie
Muda wote wapo jukwaa letu hawa na maneno ya shombo shombodah Kitoabu ndiyo anapenda madau ya kunya kunya, kumbe na wewe umo











Nasikia wanaitwa Bingwa wa CORONAMkuu kwani Manure wameweka Kikosi gani? Hapo si wamepungua wawili tu De Gea na Bruno tu.
Mbona hata sisi hatuna wawili Mane na Henderson.






Nilitarajia liva aje na kikosi kizima cha ligi. Nilidhani united atataka kutunza wachezaji wake kwa ajili ya ligi, ole had other plans. Hata hivyo leo milkua low mno kama vile siyo nyie mliomiliki mpira kwa 60%Mkuu kwani Manure wameweka Kikosi gani? Hapo si wamepungua wawili tu De Gea na Bruno tu.
Mbona hata sisi hatuna wawili Mane na Henderson.
Inasafirishwa mkuuMAITI MNABEBA AU TUNAZIKIA PALE PALE OT?![]()