Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mmeanza kukonda sasa [emoji23][emoji23] pumbavu sana kuku wakubwa nyie [emoji23][emoji23]
 
Nadhani ile ahadi yangu imetimia, tena imetimia kabla muda wake.

Mwezi wapili bado tayari muko nafasi ya 4, mpaka mwezi wa pili mutakua mushafika kwenye nafasi 7.
 
Boss kupoteza games 3 inatosha kufanya ujiamini ni fair ila unajua kuna timu haikufungwa hata mechi moja na haikuchukua kombe?

Trent baada ya majeruhi amekua siyo kama wakati msimu unaanza, majeruhi hubadilisha attitude ya mchezaji. Upo sure watakaorudi watakua same players?

Kikosi chenu kina nafasi ya ubingwa? On paper yeah. So is Chelsea and City. Arsenal tunapigwa kushoto, kulia na kati ila ukiangalia on paper unasema hii timu haikustahili kupigwa na Burnley.

Am sure utazidi kua logical kadri muda unavyoenda.
 

Sasa hivi maneno mabaya yote tutaambiwa sisi [emoji3].
 
Ukisikia kuaibika ndiyo huku 😅
Liverpool Halisi wenzangu munisamehe kwa hili.

Hivi yule Mchezaji wetu pendwa Captain bora wa muda wote tuliyelazimishwa tuamini kuwa ndiye aliyetupa Makombe kwa kuibeba Timu kwa Mabega yake sasahivi yupo wapi kwenye kipindi hichi kigumu? 😂

Si atuvuushe tu skipper wetu! Tuvushe Hendo tuvusheee 🎶🎵🎶🎶

Ilikuwa mikelele mingi Hendo katupa Makombe sasa tushapoteana watu Wanalia na VVD, GOMEZ na JOTA hakuna anayemtaja Captain.

Watakaporudi wenye Timu tukaanza kushinda misifa itarudi tena kwa Hendo.

Ukisikia kuwa Exposed ndiyo huku! Sasa imeshajuilikana ni kina nani ndiyo Waliokuwa wanaibeba Timu.

Captain alizoea mbeleko wa kina VVD, FABINHO, SALAH, MANE, TAA, ROBBO na BOBBY, sasa mbeleko umekatika kawa kama Saidi Ndemla tu.
 
Me nadhani mechi kati ya Manchester United Vs Liverpool ni mechi ya kulinda heshima haijalishi ni michuano gani.

Sitegemei Sorskjaer kuanzisha kikosi B.
Yani livakuku akiweka ugoko tunaweka chuma.
 
Ila hamna mahali nimesema liva haina uwezo wala nafasi hiyo ila nimesema Klopp anaandaa mazingira ya FA. Na hamna nafasi kubwa as gepu linavumilika. Plus Jana Klopp kasema liva haina kikosi cha kugombea trophy.
 
Me nadhani mechi kati ya Manchester United Vs Liverpool ni mechi ya kulinda heshima haijalishi ni michuano gani.

Sitegemei Sorskjaer kuanzisha kikosi B.
Yani livakuku akiweka ugoko tunaweka chuma.
Hatoweka kikosi B ila unaweza kuta De Beek, Ighalo na James wanaanza.
 
Tukumbushe ni timu gani hiyo haikuchukuwa ubingwa pamoja na kumaliza msimu Bila kufungwa
 
Kila siku si munaambiwa humu kua Sera yenu ni kuuza na kununua.
Bila kuuza mchezaji hamununui mchezaji hapo.

Timu ya kibahili kinoma, yani hata ukinywa bia unaulizwa "umepata wapi pesa"?.
Jamaa[emoji23][emoji23][emoji23]una maneno kisenge
 
Tukumbushe ni timu gani hiyo haikuchukuwa ubingwa pamoja na kumaliza msimu Bila kufungwa
Vitu vingine vikisemwa unahisi kama vimetungwa eeh?

Anyway kuna Perugia, Benfica na Spartak Sofia hawakupoteza hata mechi moja na hawakunyanyua kombe.

Rangers walipoteza game moja tu na hawakuchukua kombe.

Umeridhika?
 
Arsenal 2004


The 2003–04 FA Premier League was the 12th season of the Premier League. Arsenal were the champions and Chelsea, who had spent heavily throughout the season, were the runners up. Arsenal ended the season without a single defeat – the first team ever to do so in a 38-game league season and the second team overa
 
Kumbe unaongelea ligi za kawaida nilijuwa Top five leagues
Vitu vingine vikisemwa unahisi kama vimetungwa eeh?

Anyway kuna Perugia, Benfica na Spartak Sofia hawakupoteza hata mechi moja na hawakunyanyua kombe.

Rangers walipoteza game moja tu na hawakuchukua kombe.

Umeridhika?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…