Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


We will come back stronger Mkuu.

In klopp we trust .
 
We ndio mwenye timu yako, hao wengine wachunguliaji tu.
Liverpool HALISI haya yote tuchukulie kama sehemu ya matokeo ya mpira,tumepoteza na sasa tunajipanga kwa mechi zijazo!
Waache Liverpool MASLAHI waendelee kuongea vibaya kuhusu team,sisi tuzidi kishikamana.
In Klopp we believe
 
Si umeona hapo mwenyewe umesema kua mipira inatua kwa forward ila wanashindwa kuscore? Haujasema inatua kwa beki ila anashindwa kuscore, so tatizo siyo beki ni forward.

Sasa bro unataka kufanya highline ya nini ikiwa mpira muda wote unao wewe? Mlifanya highline na Virgil yupo dhidi ya Villa.

Shots nyingi ila jana mlicreate big chance 1 tu na Burnley walitengeneza 1. Mlivyocheza na united mlicreate big chance 1 pia, united alitengeneza mbili na possession mliongoza na idadi ya shots.

What does this mean? Mnahitaji namba 8 na 10. United walicreate chances kuwazidi as wana orchestrator Pogba na AM Bruno. Mlivyomsajili Thiago nilisema anaendana na staili yenu ya uchezaji, kwamba mnataka mid inayohold mchezo huku chance creators wakiwa fullbacks.

So it's either msajili fullbacks wa kariba ya kina Hakimi au AM na forward. Au badilisheni formation.
 
Hahaha eti zima kwenye gia[emoji3][emoji3][emoji3] halafu unasema umetombesha maneno?
Hawa jamaa wana makundi kwenye jukwaa lao, kitu ambacho sikioni mjengo wowote.

Nahivi wameshaanza kukaangwa, mbona kazi ipo.
 
Well said Castr...

Mara chache sana utaona mashambulizi yakipita kati kwa vile 10 ama 8 wa ukweli hayupo na akiwepo Keita out out ni zigzag hana consistency...

Kazi kwa mwalimu aidha waingie sokoni ama aje kivingine na mfumo.. Muda utasema...

YNWA
 

Eti Liverpool hana nafasi kubwa? Acha kuwadanganya watu,round ya kwanza wengine bado hata wajamalizia mechi zao .eti liverpool wameona hawana nafasi acha kutusemea sisi tunaamini tuna nafasi kubwa sana maana huko tunapoenda ndio wachezaji wetu wote watakuwa wamerudi klopp atakuwa anachagua tu aanze nani.

Jua kutofautisha kati ya kuongoza ligi na kuwa bingwa.

Liverpool inasifa zote za kuwa bingwa mpaka sasa round ya kwanza imeisha amepoteza mechi 3 tu.
 

Castr yupo vizuri lakini muda mwengine anajichanganya.
Anashindwa kutofautisha Uwezo na Nafasi.

Bora angesema Liverpool haina uwezo wa kuchukua Ubingwa basi ni rahisi kudefend hoja zake! Lakini kusema haina nafasi hapa kapoteza.

Liverpool uwezo wa kuchukua Ubingwa kidogo inafikirisha lakini kuhusu nafasi ya kubeba ubingwa bado wanayo kwani Nafasi ni Mathematically.
 
Achana na Liverpool PEP njoo Liverpool HALISI tujenge Timu hata hatuhitaji usajili huku ni Mshikamano tu na kumuomba Mungu ndiyo tutapata ushindi.

Sisi Liverpool HALISI ndiyo wenye uchungu na hii timu, bila mshikamano wetu chini ya kapteni bora kabisa kuwahi kutokea Uingereza kama si duniani kote tusingepata makombe yote tuliyopata.

Tuendelee kushikamana, tutapata makombe mengine, wala hatuhitaji usajili.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…