Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hendo kampita hadi Gerrard, sasa kwa nini tumseme?

Kwa miaka zaidi ya 30 hakujawahi kuwa na captain bora kuliko Hendo, sasa kama Klopp na Southgate wanamkubali, nyinyi Liverpool PEP ni nani mmseme? Kwanza hamna football management.
naunga mkono hoja, hendo anacheza mpaka beki kutokana na utiifu wake mithili ya mataga na mwenyekiti.
 
naunga mkono hoja, hendo anacheza mpaka beki kutokana na utiifu wake mithili ya mataga na mwenyekiti.

Ni kweli Hendo Mtiifu ndiyomana anakubali kucheza mpaka Beki lakini sisi Liverpool PEP tunashangaa pia kwanini Fabinho sio Mtiifu na amekataa kucheza beki baada ya kuumia VVD.
Pia GINI sio Mtiifu kwa kukubali kuchezeshwa kiungo wa chini baada ya ushambuliaji.
 
inabidi hendo arudi pale katikati

Pale nyuma acheze hata onyango

Mnaweza kumsaini ,simba wapo tayari kuwasaidia
 
Hendo kampita hadi Gerrard, sasa kwa nini tumseme?

Kwa miaka zaidi ya 30 hakujawahi kuwa na captain bora kuliko Hendo, sasa kama Klopp na Southgate wanamkubali, nyinyi Liverpool PEP ni nani mmseme? Kwanza hamna football management.
I agree with you, Henderson is a best leader on the pitch than Gerald were.

Kuna ule msemo unasema, Bora jeshi la fisi likiongozwa na Simba kuliko jeshi la Simba likiongozwa na fisi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli Hendo Mtiifu ndiyomana anakubali kucheza mpaka Beki lakini sisi Liverpool PEP tunashangaa pia kwanini Fabinho sio Mtiifu na amekataa kucheza beki baada ya kuumia VVD.
Pia GINI sio Mtiifu kwa kukubali kuchezeshwa kiungo wa chini baada ya ushambuliaji.
nikiwa kama mshereheshaji wa liverpool halisi kwa siku ya leo naomba nikujibu ifuatavyo:

captain hendo ni tunu ya liverpool akiwa popote (ndani na nje ya uwanja), hivyo basi kitendo chake cha kujitolea (sisi tunaamini hendo ana uwezo wa kugomea hiyo position na isiwe kesi kwa klopp) kucheza nafasi ya beki ni cha kuthaminiwa na kujadiliwa zaidi na wapenda maendeleo ya liverpool kuliko hao wengineo uliowataja (fabinho na gini).

hao wengine (fabinho na gini) hata kama wataendelea kuchezeshwa nje ya maeneo yao yaliozoeleka hatutoweza kusikia wasifu wao uliojaa utiifu kutoka kwa washirika wetu wakubwa kama vile pundits wa kiengereza na vyombo vyao vya habari, bali tendo hilo litachukuliwa kama njia moja ya kutimiza wajibu wao wakiwa kama waajiriwa wa hapo anfield.
=================
 
Sisi Manchester United hatuna huo upuuzi sijui HALISI sijui kineng'emu gani sisi hatuna.

Sisi wote ni wamoja.
Kutofautiana mitazamo ipo, lakini mambo ya kujitenga tenga ni yaakina mama hayo.
Jana niliona post yako kuhusu Bruno, naona wadau wa Man Utd HALISI hawakukuelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom